Naomba msaada dawa ya mawe kwenye nyongo

Naomba msaada dawa ya mawe kwenye nyongo

kendy

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
428
Reaction score
894
Habari za maisha ndugu zanguni.

Naomba Kwa mtu au mtaalamu yeyoye anaeweza kinisaidia matibabu au dawa ya mawe kwenye nyongo bila upasuaji.

Nina mgonjwa wangu,ameenda hospitali amepewa dawa lkn Dakatari Kwa uzoefu wake amesema dawa zinaweza zisifanye kazi,hivyo njia nyingine ni kufanyiwa upasuaji.

Hivyo nauliza kwenu watu wa Mungu na wataalamu kama Kuna dawa zinaweza kumaliza kabisa tatizo hili bila kufanyiwa upasuaji naomba msaada kwenu.
 
Back
Top Bottom