Nendeni ulimwenguni kote....ina maana hujui huu mstari kwenye Biblia au unajitoa ufahamuHapana,haiwezi kuwa hivi
Ulimwengu na walimwengu ni vitu viwili tofauti,1. Ulimwengu- Walimwengu..
2. Uchumi- Uchumi..
Kuna wengine wanasema uchumi hauna wingi,pale juu wamechangiaKwanza ulimwengu ni mmoja tu so hauna wingi. Hakuna ulimwengu zaidi ya mmoja.
Pili
Uchumi wingi wake ni CHUMI.
MFANO. Uchumi wa nchi yetu unakuwa maradufu ukilinganisha na chumi za nchi nyingine Africa Mashariki
Nakubaliana na wewe, walimwengu ni neno tofautiUlimwengu na walimwengu ni vitu viwili tofauti,
Ulimwengu ni Sayari zote kwa pamoja ikiwemo na hii Earth tunayoishi,
Walimwengu ni Binadamu wanaoishi ndani ya huo ulimwengu katika sayari ya Dunia/Earth.
Hatuna mwengu nyingi boss tunao mmoja tu ambao ni ulimwengu zingekuwa nyingi nadhani zingeitwa mwengu.Uchumi ni Uchumi tu
Ulimwengu - walimwengu.( au ulimwengu tu)
Nendeni ulimwenguni kote....ina maana hujui huu mstari kwenye Biblia au unajitoa ufahamu
So ulimwengu - wingi ulimwenguni😬
Soko. Kichaga ni maharage.😀Neno 'soko' ukiongeza 'ni' kwa mbele inakuwa sokoni ambapo inakuwa inaeleza mahali,mifano mingine ni duka-dukani,shule-shuleni nk
Walimwengu nimemaanisha wingi kwa binadamu na dunia yao , kama ni sayari ya dunia tu ni ulimwengu hakuna wingiHatuna mwengu nyingi boss tunao mmoja tu ambao ni ulimwengu zingekuwa nyingi nadhani zingeitwa mwengu.
Uchumi wingi wake nilitamani iwe chumi
Hapana. Wingi wa Uchumi ni ChumiKuna wengine wanasema uchumi hauna wingi,pale juu wamechangia