machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,334
- 5,326
Ulimwengu(the universe) sidhani kama Kuna ulimwengu mwingine labda tumuulize doctor Stephen strangeš¤£Uchumi ni Uchumi tu
Ulimwengu - walimwengu.( au ulimwengu tu)
Ulimwengu(the universe) sidhani kama Kuna ulimwengu mwingine labda tumuulize doctor Stephen strangeš¤£Uchumi ni Uchumi tu
Ulimwengu - walimwengu.( au ulimwengu tu)
Ulimwengu si ndio universe?Kwanza ulimwengu ni mmoja tu so hauna wingi. Hakuna ulimwengu zaidi ya mmoja.
Pili
Uchumi wingi wake ni CHUMI.
MFANO. Uchumi wa nchi yetu unakuwa maradufu ukilinganisha na chumi za nchi nyingine Africa Mashariki
Mzee wa āuhoāSikufundishwa,wewe vp hukufundishwa kuweka neno 'H'?
Uchumi ni chumiWakuu,
Naomba wingi wa maneno haya;
1.Ulimwengu
2.Uchumi
Ahsante
Universe ni malimwengu.U
Ulimwengu si ndio universe?
Universe zipo nyingi Tu mbona
Umechoka kubishana sheikh? šSawa
Ni kweli ila wakiwemo watu , wamiliki wa ulimwengu tunaita walimwengu, pia nasikia zipo universe nyingine bwashee šUlimwengu(the universe) sidhani kama Kuna ulimwengu mwingine labda tumuulize doctor Stephen strangeš¤£
Hahaha!
Asante,Niliuliza kwa sababu nilimsikia mwalimu fulanj wa neno la Mungu akisema kuna ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho halafu akasema hizo ni 'nyulimwengu' tofautiUlimwengu hauwezi kuwa na wingi kaa sababu upo mmoja pekee, kadhalika dunia haiwezi kuwa na wingi kwani ipo moja pekee.
Uchumi juzi tulimsikia rais samia akisema chumi za mataifa makubwa zinafanya vibaya kulinganisha na Tanzania hivyo wingi wa uchumi unaweza kuwa chumi.
Mimi nimewasikia wakenya mara kadhaa wakitumia neno Chumi kama wingi wa uchumiAsante,hua nasikia wachambuzi wa uchumi kwenye luninga wanatumia neno Chumi