Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,314
- 2,635
Jf ni mtandao unaokwenda na wakati ndio 7bu nimeshawishika kujiunga.1 ya 7bu ni mafundisho.jf inafundisha jamii kwa kutoa mawazo na fikra nzuri zinazo kujengea kujiamini siku zote watu tuna shindwa maisha kutokana na kutokujiamini.ila jf inatujenga kujiamini.NAOMBA MNIKARIBISHE NDANI.