Naomba mnikaribishe ndani all the Great thinker

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Jf ni mtandao unaokwenda na wakati ndio 7bu nimeshawishika kujiunga.1 ya 7bu ni mafundisho.jf inafundisha jamii kwa kutoa mawazo na fikra nzuri zinazo kujengea kujiamini siku zote watu tuna shindwa maisha kutokana na kutokujiamini.ila jf inatujenga kujiamini.NAOMBA MNIKARIBISHE NDANI.
 
Karibu...............lakini jina lako...limekaa ki-BOFLO ......BOFLO au KIBWABWA......VILE..........!!!
 
Bandugu nashkuru saaaaana! Kunikaribisha nami angalao nimefarijika but naomba msinione mshamba katika matumizi ya mtandao.kwani hata mbuyu nao ulianza kama uyoga na mtoto hakuzaliwa na kuanza kutembea so thanx thanx!
 
Back
Top Bottom