Naomba mnifundishe kuendesha gari aina ya IST

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
486
Reaction score
2,069
Mko poa humu?
Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu, atakaa almost miezi sita huko, sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu, kaniachia na ufunguo, kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if possible.

Sasa mimi sijawahi kumiliki gari hivyo sijui hata kuendesha.hivyo naomba msaada mnipe darasa nijifundishe mwenyewe kupiga gia ili na mimi niwaoshee majirani wajue ni yangu.
 
Mko poa humu?
Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu,atakaa almost miezi sita huko,sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu,kaniachia na ufunguo,kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe.kaniambia pia niwe napigia misele if possible.

Ingia youtube uone wanavyoendesha
 
Sikuhizi ili upate kibali cha kuendesha gari, (driving license), lazima ukasome kwenye chuo kinacho tambulika na serikali, hakuna njia ya mkato
 
Mko poa humu?
Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu,atakaa almost miezi sita huko,sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu,kaniachia na ufunguo,kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe.kaniambia pia niwe napigia misele if possible.
Sasa mimi sijawahi kumiliki gari hivyo sijui hata kuendesha.hivyo naomba msaada mnipe darasa nijifundishe mwenyewe kupiga gia ili na mimi niwaoshee majirani wajue ni yangu.
Hakikisha simu yako ina bando muda wote kwa ajili ya kumtumia picha za gari baada ya tukio.
 
Hatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye accelerator mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na accelerator
 
Mko poa humu?
Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu,atakaa almost miezi sita huko,sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu,kaniachia na ufunguo,kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe.kaniambia pia niwe napigia misele if possible.
Sasa mimi sijawahi kumiliki gari hivyo sijui hata kuendesha.hivyo naomba msaada mnipe darasa nijifundishe mwenyewe kupiga gia ili na mimi niwaoshee majirani wajue ni yangu.
Haha 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye clach mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na clach
Clach kwenye IST mkuu..
Unamchanganya mwanafunzi
 
Hatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye clach mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na clach
Hebu kwendrrrra huko umezoea ma Ashok na Iveco yenu yenu. Na kina maginga, Umeambiwa IST, sasa Clutch pedal Gani tena🤣🤣🤣
 
Endelea na usafiri wako.....
images (15).jpeg
 
Back
Top Bottom