Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,262
- 2,902
😂 Mfundishe chiefUfundishwe kuendesha gari,? Hapa dah aya maisha
😂 Mfundishe chiefUfundishwe kuendesha gari,? Hapa dah aya maisha
Japo mimi siyo kijana labda kama ujana unaanzia miaka 64Toa pesa upate leseni kijana
Upo mkoa gani na wilaya gani?Mko poa humu?
Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu, atakaa almost miezi sita huko, sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu, kaniachia na ufunguo, kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if possible.
Sasa mimi sijawahi kumiliki gari hivyo sijui hata kuendesha.hivyo naomba msaada mnipe darasa nijifundishe mwenyewe kupiga gia ili na mimi niwaoshee majirani wajue ni yangu.
Kwanza hiyo siyo gari ya kujifunzia bora hata ingekuwa yako, pili nenda driving school kama wiki tu kwa mwanaume biashara imekuwa imeisha. Unatafuta rafiki anakuwa anakupa maelekezo madodo madogo.Mko poa humu?
Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu, atakaa almost miezi sita huko, sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu, kaniachia na ufunguo, kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if possible.
Sasa mimi sijawahi kumiliki gari hivyo sijui hata kuendesha.hivyo naomba msaada mnipe darasa nijifundishe mwenyewe kupiga gia ili na mimi niwaoshee majirani wajue ni yangu.
Mwalimuuuuuuuuuuuuu!!!!Hatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye accelerator mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na accelerator
Sheria za barabarani piaKwanza hiyo siyo gari ya kujifunzia bora hata ingekuwa yako, pili nenda driving school kama wiki tu kwa mwanaume biashara imekuwa imeisha. Unatafuta rafiki anakuwa anakupa maelekezo madodo madogo.
Mimi huwa nashangaa kabisa mwanaume anaweka "L" tena kwenye gari auto.
Ujinga tu wa watu wenye powerSikuhizi ili upate kibali cha kuendesha gari, (driving license), lazima ukasome kwenye chuo kinacho tambulika na serikali, hakuna njia ya mkato
kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if possible.
Sasa mimi sijawahi kumiliki gari hivyo sijui hata kuendesha
Sheria za barabarani vipi?Ujinga tu wa watu wenye power
Yaani skill ya kawaida tunaiona kama rocket science.... Tunapenda kuwekeana vikingi saana ili wachache waendelee kuila nchi.
Tufanye research kutafuta chanzo cha ajali za barabarani....je, ni kweli nyingi zinasababishwa na madereva kutokujua kuendesha magari?Sheria za barabarani vipi?
Hatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye accelerator mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na accelerator
Mwalimu wa mchongoMwalimuuuuuuuuuuuuu!!!!
Na Mimi nahitaji kufahamu kuendesha Peugeot, nifanyaje?
Pikipiki mwili wako ndiyo kiwiliwili cha pikipiki kama huna nguvu ChaliMimii naomba kurundishwa pikipiki
Nipe darasa mzee maana baiskeli naweza ila pikipiki Sina ujanja nayoPikipiki mwili wako ndiyo kiwiliwili cha pikipiki kama huna nguvu Chali