Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Duuh clutch tena mkuu au ulimaanisha accelerator, na hata hivyo bado hatakiwi kutumia miguu miwili kwenye auto mguu ni mmoja tu, anakuwa anaswitch kwenye acc na brake hayo mambo ya miguu miwili ni kwenye manualHatua ya kwanza washa gari kisha toa handbrack mguu ukiwa kwenye brack uku chini kisha angalia upande wa gia hapo uweke D kama una enda mbele na kama una rudi nyuma weka R kisha anza kuachia brack pole pole uku mikono ipo kwenye ushukan una chezesha kidogo kwako tumia miguu miwili mmoj kwenye clach mwingine kwenye brak ukisha changanya mwendo mguu mmoja kwenye brack utoe pambana na clach