Naomba Mnielekeze Ku-hide some Members Nisione POST na COMMENTS Zao.

Naomba Mnielekeze Ku-hide some Members Nisione POST na COMMENTS Zao.

Hapo solution ni wewe kuacha kutumia JF

Watu Kama nyie mkipewa uongozi ni hatari, hamtaki demokrasia…!!

Max msitoe hiko kipengele kiacheni hivyo hivyo hatutaki madikteta humu..!!
 
Hapo solution ni wewe kuacha kutumia JF

Watu Kama nyie mkipewa uongozi ni hatari, hamtaki demokrasia…!!

Max msitoe hiko kipengele kiacheni hivyo hivyo hatutaki madikteta humu..!!
kumbe sometimes una maoni ya maana kabisa dah!

well done & keepitup 🤝
 
Acha ujinga mbunge hizo sio akili zako najua kuna zile sindano huwa mnachomwa za kuwapumbaza.
ni muhimu sana,
na kwakweli ni vizuri zaidi kua wastahilivu na wenye subra katika mambo haya ya utofauti wa mawazo na maoni jukwaani na kujiepusha kabisa na sense of perfections ambayo ni kitu mbaya na hatari sana pale ambapo nawe utakua mahali ambako, unadhani waliopafikia wengine wanaenjoy tu kuzodolewa, but kwasababu ya ustahimilivu wapo pale na wataendelea kua pale 🐒
 
kwa mantiki hio unataka kusema wakina hao chawa wako sahihi?
Wako sahihi kwenye kitu gani?
Nini maana ya chawa?

Tatizo lenu nyie watu mnaobishana kwa misingi ya ushabiki wa kisiasa hua mnatengezeana chuki,anaweza kuongea ujinga mtu mwenye mrengo wa kisiasa kama wewe na ukaona sawa tu,ila mtu mwenye mrengo tofauti na wewe hata akiongea jambo zuri utaliona baya tu,

Freedom of speech sio lazima anayetumia huo uhuru wake aongee kile kinachokufurahisha wewe tu.
 
Wako sahihi kwenye kitu gani?
Nini maana ya chawa?

Tatizo lenu nyie watu mnaobishana kwa misingi ya ushabiki wa kisiasa hua mnatengezeana chuki,anaweza kuongea ujinga mtu mwenye mrengo wa kisiasa kama wewe na ukaona sawa tu,ila mtu mwenye mrengo tofauti na wewe hata akiongea jambo zuri utaliona baya tu,

Freedom of speech sio lazima anayetumia huo uhuru wake aongee kile kinachokifurahisha wewe tu.
Freedom of speech ikivuka mipaka inakuwa mbaya na kukera
 
Haina msaada wowote maana ukiamua kuona unaona tu, Muulize mshana alivo ignore upande wangu.
 
Mtafute mtaani mtangwe risasii ya kichwa mkuuu km uku kawa kero sanaaa
FB_IMG_1787880642439.jpg
 
Yeah hili jukwaa tunalitumia lakini bado lina madhaifu madogo madogo mengi sana. Una ignore mtu ila bado unaletea show ignored content like what the fuckkkkkk. Kule pm ndo matatizo tupu.!!
Kweli ,ma Developer wa JF inabidi waangalie hiyo issue ,ukishamuignore mtu haitakiwa kuona content yoyote kutoka kwa huyo mtu na wewe asione chochote.
 
Back
Top Bottom