Mr noble
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 623
- 549
Mi binafsi nafanya hizo kazi ila kamaKama mmeikubali hiyo haki sawa mbona kazi za ndani hamtaki kufanya?
Hizo kazi binafsi nafanya,ila wewe binafsi uko radhi kuniacha mimi nifanye hizo kazi halafu wew uitafutie ulaji familia!?Kama mmeikubali hiyo haki sawa mbona kazi za ndani hamtaki kufanya?