Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

Kama Vile Wanawake Walivyo na Uzuri wa Ndani Ambao Huwezi Kuuona kwa Macho Ndivyo na Sisi Wanaume Tulivyo na Pesa za Ndani Sana Huwezi Kuziona kwa Macho

Lakini Zipo!
 
Mi binafsi nafanya hizo kazi ila kama

Hizo kazi binafsi nafanya,ila wewe binafsi uko radhi kuniacha mimi nifanye hizo kazi halafu wew uitafutie ulaji familia!?
Kwani siku hizi jukumu la kutafuta pesa na kuhudumia familia mnafanya peke yenu wanaume? Hebu oneni aibu.
 
Habari za mchana wanajamii,

Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.

Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpaka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.

Nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100,000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi.

Akishatoa hiyo atajikausha hata miezi minne inaweza pita bila kutoa kitu na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe.

Basi nikafungua biashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkali

Basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. Nimemsema sana lakini naona habadiliki.

Nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
Tatizo umetueleza upande mmoja...wewe upande wako madhaifu ni yapi?...mfano kipato chako kwa mwezi ni kiasi gani na ulikuwa/huwa unachangia nini?....

je haki yake ya ubaba wa nyumba anapewa au ndo kila siku unatoa visingizio?...

Mme kufikia kususa familia hasa kumsusa mke kuna vitu vingi vimemkwaza na pamoja na kukuvumilia anaona hubadiriki.....

Mfano, ondoka wewe uone kama hata nunua umeme, au kuacha pesa ya matumizi nyumbani....nikwamba anafanya kukukomoa wewe mwisho wa siku familia nzima inaumia.....
 
Umekosea sana kuingilia majukumu yake tangu mwanzo unaonesha ulikuwa unatoa wewe zaidi,acha kuingilia majukumu yake hata kama unahela kiasi gani....iliandikwa mwanaume atakula kwa jasho,mwanamke atazaa kwa uchungu!!
Mwache yeye asimamie majukumu yake kama baba wa familia,huruma huruma zinakuponza.

MPENZI UNAFANYAJE SASA KAMA HAJATOA HELA,MLALANJAA AU INAKUWAJE
 
Mpe K vizuri, atafanya chochote utakachomelekeza.ndio maana malaya huwa wanatushika masikio hadi tunauza nyuma tuwape hela, ni kwasababu ya kutoa K, wanakuachia uwe huru kuifanyia utakacho.

hata hamu ya kumpa hiyo itakuwepo sasa, inatoka wapi kwamfano. hivi kweli utaenjoy k mwanao hujui amekula nini
 
Baada ya kusoma maelezo yako, inavyoonyesha wewe ndio ulimuomba akuoe kwa hiyo anaona wewe ndio unastahiki kuhudumia gharama za nyumba na mengineyo.

Suluhisho, jitahidi ujinyime mpaka tine la mwisho usitoe chochote, hakikisha umekula umeshiba kabla hujarudi nyumbani, halafu mlaze na njaa

na watoto je inakuwaje mpendwa na wenyewe wanala njaa,halafu huyu jamaa sio mtembezi, akitoka kazini nyumbani tu. ka kaa kwenye kochi ni kuangalia TV hata kuuliza jioni tunakula nini hakuna.
 
Unadhani hapo kuna ishu basi hapo ni mtu kajitongozesha kwa mwanaume kwa maslahi yake binafsi labda aolewe labda aonekane yupo na mwanaume handsome...na ujinga ujinga wao mwingine wa kutaka kuwa fake hata kwenye mahusiano...nina mume handsome Nina mume hivi.

Mwisho wa siku wanashindwa kufocus kwenye vitu vya msingi ,wakija Wanaume wapo serious wanawaona wapo desperate, wakija wahuni wapenda vitonga wenye sura nzuri ndo wanashoboka Mwisho wa siku watombw* na marioo na mwisho wa siku kbs Wana force ndoa na marioo...

Tumlalamikie nani km sio upuuzi wao wenyewe

mbona kama unayajua sana mambo ya Mario, au na wewe ni mmoja wapo. kunywa maji kidogo upunguze mihemko
 
na watoto je inakuwaje mpendwa na wenyewe wanala njaa,halafu huyu jamaa sio mtembezi, akitoka kazini nyumbani tu. ka kaa kwenye kochi ni kuangalia TV hata kuuliza jioni tunakula nini hakuna.
Hahahahah bomu hilo
Ila ndio uwaifu matirio jikaze usiachike usije ukaitwa singo maza na matusi kedekede wenyewe wanasema ndoa inawaletea wanawake heshima,hata Kama hutunzwi wewe hudumia family pamoja na yeye na umpe mapenzi kama yoteee,nacheka kifilipino
 
Habari za mchana wanajamii,

Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.

Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpaka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.

Nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100,000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi.

Akishatoa hiyo atajikausha hata miezi minne inaweza pita bila kutoa kitu na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe.

Basi nikafungua biashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkali

Basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. Nimemsema sana lakini naona habadiliki.

Nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
utakuwa mbovu sana kitandani, mm nina mchepuko wangu kitandani hana tofauti na yule wa gwaji boy, nikimgegedaga simpagi hela nyingi hata kama ninazo
 
mbona kama unayajua sana mambo ya Mario, au na wewe ni mmoja wapo. kunywa maji kidogo upunguze mihemko
Hahahahah unaona majibu yao?ukihudumia family utaambiwa wewe mbaya,una kiherehere,una jipa majukumu ya mume,unataka umtawale mume
Ukiacha family inaadhirika,maskin mwanamke wa kiafrica hasa Tanzania mna tabu sanaaa
Ila narudia ulichemka anzia mwanzo,kamwe usidate na mwanaume bahili wala kuolewa naye
Wanaume nao sikuhizi wanataka kutunzwa halafu waendelee kuheshimiwa na wake zao,hiyo haipo,mimi nikitoa hela yangu afu umekalisha pumbu tu jua wewe ni marioo nakufuga full stop na nyumba nitaiendesha kwa taratibu na kanuni zangu,hutaki kutawaliwa timiza majukumu yako kama baba na kichwa Cha familia simpo
Hahahahah utawaona wapenda utelez watakavyo dandia hii comment
 
Back
Top Bottom