Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

Mama Mzungu

Mama Mzungu

Senior Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
119
Points
250
Mama Mzungu

Mama Mzungu

Senior Member
Joined Jun 20, 2016
119 250
Habari za mchana wanajamii,

Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.

Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpaka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.

Nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100,000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi.

Akishatoa hiyo atajikausha hata miezi minne inaweza pita bila kutoa kitu na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe.

Basi nikafungua biashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkali

Basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. Nimemsema sana lakini naona habadiliki.

Nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
Aisee pole sana, hakuna raha kama kuhudumiwa na mwanaume 🤣🤣. Ina maana huo ustingy umeanza baada ya ndoa? Kama alikuwa hivyo kabla basi ni mzigo wako vumilia tu.

Kama kaanza hiyo tabia sasa hivi basi chunguza hela zake zinaenda wapi. Na hakikisha hata kama hela haachi wewe usitoe kabisa, yaani chuna kabisa ila cha msingi hakikisha wewe na mtoto mnakula msife njaa. Huyo cha uchoyo mwache na uchoyo wake Wala usiumize kichwa, fanya yako na HELA USITOE.

Mimi sipendi wanaume wazembe katikati huduma, ningekutana na huyo mtu 🤣🤣🤣 haki ya Mungu angetoa tu. Nipo tayari kulala giza, chakula hapati Na business zangu hagusi.

I am sorry ila sometimes unahitaji kusimama na kuonyesha msimamo, usisahau kupiga goti kumuombea huyo pepo amtoke. Mimi na support sana kusaidia wanaume katikati shida ila si huo upuuzi. Ni Mwiko kataaa mama, all the best.
 
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
558
Points
500
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
558 500
Hahahahah bomu hilo
Ila ndio uwaifu matirio jikaze usiachike usije ukaitwa singo maza na matusi kedekede wenyewe wanasema ndoa inawaletea wanawake heshima,hata Kama hutunzwi wewe hudumia family pamoja na yeye na umpe mapenzi kama yoteee,nacheka kifilipino
Nimejaribu kupitia maoni yako toka juu nika conclude we ni single mother, ushaachika hivi vitu viwili vinakufanya unakuwa na inferiority complex ndo maana naona unatumia misamiati ya ndoa, heshima, single mama na blah blah kibao ifikie kipindi mjikubali wenyewe

Kuhusu hii Mada nyinyi hawa wanaume dizaini hii ndo mnawafuga sana kulikoni Leo mnalalamika
 
M

masanzakona

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
224
Points
225
M

masanzakona

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
224 225
kwakweli wakati wa uchumba alikuwa na hali ngumu kimaisha so alikuwa hatoi kitu, mi nikachukulia poa tu, nikahisi vile hana ndo maana hatoi, ila kwa sasa pesa anayo
Mimi siwezi kwakweli, nitakuvumilia kwa muda ila ubahili na uchoyo ukizidi nakupiga chini faster, mwanume anatoka asubuhi anarudi usiku hajaacha hata mia, huko njiani hata machungwa ya buku hayahoni, akifika anataka msosi...hiiiiiii bebeshi in magu's voice
Ulikosea tangu enzi za uchumba, kama mmeshafunga na ndoa ndio lako hilo mama.....pole!
 
M

masanzakona

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
224
Points
225
M

masanzakona

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
224 225
Hahahahah kalivagaa mariooo likamwoa akaona kapataa,kumbe kapatikana
Wanawake na mabinti acheni kulea Mario's mtu asiyekuhudumia toka uchuma akikuweka ndani utajihudumia wewe,yeye na watoto kwa kigezo Cha ndoa
Kalaghabahoooo
Kweli kabisa, ogopa mwanaume bahili, hawezi hata kutoa hela ya pedi
 
ram

ram

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
7,433
Points
2,000
ram

ram

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
7,433 2,000
Pole mamito, hilo ni janga umekutana nalo, nilishwahi kukutana nalo la hivyo, mimi nilimgundua hatua za awali kabisa, nikajiuliza hivi tuko kwenye urafiki tu sijui uchumba sinunuliwi hata pedi, sipewi hata jero la kununua hata soda, je nikijiingiza kwenye mkenge wa ndoa! nikausikiliza moyo wangu.....nilimpiga chini na sababu za kumpiga chini nikamwambia. Yaani usiombe kukutana na mwanaume bahili, utajuta na hiyo tabia haibadiliki
 
ram

ram

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
7,433
Points
2,000
ram

ram

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
7,433 2,000
Habari za mchana wanajamii,

Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.

Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpaka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.

Nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100,000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi.

Akishatoa hiyo atajikausha hata miezi minne inaweza pita bila kutoa kitu na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe.

Basi nikafungua biashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkali

Basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. Nimemsema sana lakini naona habadiliki.

Nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
Mwanaume hawezi kununua hata umeme, aisee, umepatikana!
Umeme ukiisha usinunue, tena chukua nguo zake uzifinyange finyange zijikunje uone kama atavaa hivyo bila kunyooshwa. Chakula pika mapema mle na watu wako, akirudi unamtazama tu, akiomba msosi mwambie hatujapika, hapo kwenye gari sasa, hebu lipaki hapo halafu toa upepo hata tairi moja tu, uone atalitoa tairi akalijaze upepo au la! Na hakikisha taa nyekundu imewaka ili alihudumie na yeye. Sikufundishi uchoyo, mfanyie vitu ambavyo vitasababisha na yeye ashiriki kwa namna moja au nyingine
 
yellow eyes

yellow eyes

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2018
Messages
1,108
Points
2,000
yellow eyes

yellow eyes

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2018
1,108 2,000

Mnyonye "pipe"
 
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
4,925
Points
2,000
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
4,925 2,000

Wewe Zoba
 
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
4,925
Points
2,000
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
4,925 2,000
Sikia huu ni ukweli niliwahi kumpata mhaya ni mzuri sana mweusi na hizi nivea lotion kawa kahawia mama yake ni mnyaturu mixing akatokea handsome.
Alinipenda sana nilizani nimepatikana basi kwa miezi kadhaa nikaona nikaishi naye huyo jamaa anahela sana meneja wa b na bado ni anavibiashara.
Ndani hatukujaliwa watoto alisema mpaka anioe.
Humo ndani alikuwa na mdogo wake.
Sasa alikuwa anatoa hela ya matumizi yangu na yakila kitu hadi mdogo wake pap hakuna hatoi dah nikasema why jamani.
Hata kula shida anarudi ndani anadai chakula tukawa tunajiuliza nini shida jibu yupo mdada ndiye anapendwa kwa sasa.
Sasa zikapita miezi mitatu hali mbaya tukaona iwe fundisho kaja siku moja chakula kipo ndio kipo nikamwambie akaoge aje tule kwenda bafuni hakuna sabuni anatoka sabuni mbona hamna nikamnyamazia akaoga na maji ya moto akaja kula mezani masheshe ni hii tunakulaga haraka tunaosha vyombo anadhani tunanjaa.
Hiyo siku nikamtengea maji kuanzia bakuli kubwa hadi ndogo nikasema babe chakula tayari .
Akaja kula kumbe kufunua mabakuli nk maji watu pale waliokuwemo sitting room hawana hali kwa mbavu zao.
Nini hiki chakula kweli nikamjibh clear umetoa hela ya matumizi nikyhangaikie kukupatia hadi chakula ??
Akanyamaza akaenda kula nyama choma siku hiyo kadhani hatujala akaleta mbuzi choma tukala.
Akadai kakosa ila hatukumsamehe.
Kesho yake ilikuwa ijumamosi kaenda kazini.
Mimi na mdogo wake tulimtendea kitu hatosahau .
Tulienda buchani tukachukua maini kilo mbili na nyama kilo 3 na supermarket vitu vyakutosha na kibandani nyanya na vitunguu na kila kitu.
Halafu kila mahali tunamweka rehani atalipa kwa maana ni mwaminifu wanakubali hadi duka la nguo.
Karudi saa moja kila mtu anamsimamisha kaka hili lilempaka mshahara wake ukawa sio.
Kurudi nyumbani akasubiri nikiwa mwenyewe hivi hunaga kusamehe kwanini ulifanya hivi nikadai huu ni mwisho wa mwezi na nimenunua mahitaji ya nyumbani hadi pombe eh
 
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
3,257
Points
2,000
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
3,257 2,000

tatizo lako we katoto huwa unaandika haraka haraka hata sikuelewagi, vp unakwama wap!
 
marrykate

marrykate

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2012
Messages
666
Points
250
marrykate

marrykate

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2012
666 250
Hahahahah unaona majibu yao?ukihudumia family utaambiwa wewe mbaya,una kiherehere,una jipa majukumu ya mume,unataka umtawale mume
Ukiacha family inaadhirika,maskin mwanamke wa kiafrica hasa Tanzania mna tabu sanaaa
Ila narudia ulichemka anzia mwanzo,kamwe usidate na mwanaume bahili wala kuolewa naye
Wanaume nao sikuhizi wanataka kutunzwa halafu waendelee kuheshimiwa na wake zao,hiyo haipo,mimi nikitoa hela yangu afu umekalisha pumbu tu jua wewe ni marioo nakufuga full stop na nyumba nitaiendesha kwa taratibu na kanuni zangu,hutaki kutawaliwa timiza majukumu yako kama baba na kichwa Cha familia simpo
Hahahahah utawaona wapenda utelez watakavyo dandia hii comment
Sikia huu ni ukweli niliwahi kumpata mhaya ni mzuri sana mweusi na hizi nivea lotion kawa kahawia mama yake ni mnyaturu mixing akatokea handsome.
Alinipenda sana nilizani nimepatikana basi kwa miezi kadhaa nikaona nikaishi naye huyo jamaa anahela sana meneja wa b na bado ni anavibiashara.
Ndani hatukujaliwa watoto alisema mpaka anioe.
Humo ndani alikuwa na mdogo wake.
Sasa alikuwa anatoa hela ya matumizi yangu na yakila kitu hadi mdogo wake pap hakuna hatoi dah nikasema why jamani.
Hata kula shida anarudi ndani anadai chakula tukawa tunajiuliza nini shida jibu yupo mdada ndiye anapendwa kwa sasa.
Sasa zikapita miezi mitatu hali mbaya tukaona iwe fundisho kaja siku moja chakula kipo ndio kipo nikamwambie akaoge aje tule kwenda bafuni hakuna sabuni anatoka sabuni mbona hamna nikamnyamazia akaoga na maji ya moto akaja kula mezani masheshe ni hii tunakulaga haraka tunaosha vyombo anadhani tunanjaa.
Hiyo siku nikamtengea maji kuanzia bakuli kubwa hadi ndogo nikasema babe chakula tayari .
Akaja kula kumbe kufunua mabakuli nk maji watu pale waliokuwemo sitting room hawana hali kwa mbavu zao.
Nini hiki chakula kweli nikamjibh clear umetoa hela ya matumizi nikyhangaikie kukupatia hadi chakula ??
Akanyamaza akaenda kula nyama choma siku hiyo kadhani hatujala akaleta mbuzi choma tukala.
Akadai kakosa ila hatukumsamehe.
Kesho yake ilikuwa ijumamosi kaenda kazini.
Mimi na mdogo wake tulimtendea kitu hatosahau .
Tulienda buchani tukachukua maini kilo mbili na nyama kilo 3 na supermarket vitu vyakutosha na kibandani nyanya na vitunguu na kila kitu.
Halafu kila mahali tunamweka rehani atalipa kwa maana ni mwaminifu wanakubali hadi duka la nguo.
Karudi saa moja kila mtu anamsimamisha kaka hili lilempaka mshahara wake ukawa sio.
Kurudi nyumbani akasubiri nikiwa mwenyewe hivi hunaga kusamehe kwanini ulifanya hivi nikadai huu ni mwisho wa mwezi na nimenunua mahitaji ya nyumbani hadi pombe eh
na ulijikakamua haswaa,ujue hawa watu wanatufundisha sana kuwa na roho mbaya. kuna siku nimenunua matunda ya mtoto tu. wakati mtoto anakulaatei na yeye akaanza kuyafakamia.nikamshika mkono. vip mbona unakula matunda ya mtoto akanijibu. kwa kuwa ya kwangu sisyaoni nikamwambia nendakanunue ule haya sio yako.akaniambia nikula haya haya .ni kwambia haya huli nekabeba mtoto wangu na matunda yangu nikatoka nje dogo akayala yote.
 
marrykate

marrykate

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2012
Messages
666
Points
250
marrykate

marrykate

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2012
666 250
Mwanaume hawezi kununua hata umeme, aisee, umepatikana!
Umeme ukiisha usinunue, tena chukua nguo zake uzifinyange finyange zijikunje uone kama atavaa hivyo bila kunyooshwa. Chakula pika mapema mle na watu wako, akirudi unamtazama tu, akiomba msosi mwambie hatujapika, hapo kwenye gari sasa, hebu lipaki hapo halafu toa upepo hata tairi moja tu, uone atalitoa tairi akalijaze upepo au la! Na hakikisha taa nyekundu imewaka ili alihudumie na yeye. Sikufundishi uchoyo, mfanyie vitu ambavyo vitasababisha na yeye ashiriki kwa namna moja au nyingine
ni shida yaani nakereka mpka basi. tena ukimsema anakaa kimyaaa.UTAFIKIRI UNAONGEA NA UKUTA
 
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5,736
Points
2,000
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
5,736 2,000
Habari za mchana wanajamii,

Naombeni mbinu za kuishi na mume bahili/mchoyo.

Mwanaume ni mchoyo jamani, vitu viikisha ndani atajikausha utafikiri sio yeye ndo baba wafamilia. Umeme unakatika atauchuna na mtalala gizani, asubuhi ataondoka bila kuacha hata mia sijui anawaza mtakula nini, kwakuwa nina mtoto mdogo na wadada wa kazi inabidi niwaachachie pesa za matumizi, gari akiriharibu hatengenezi ng'o na litaendeshwa hivyo hivyo mpaka utakavyoamua kulipeleka gereji mwenyewe.

Nimechoka jamani basi ikokea katoa hela utakuta kaweka 100,000 kabatini na hakwambii kama ni pesa ya matumizi.

Akishatoa hiyo atajikausha hata miezi minne inaweza pita bila kutoa kitu na bado ataendelea kukuomba hela,mara naomba hela nikaweke mafuta kwenye gari, mara naomba hela ya sadaka ili mradi ile aliotoa mpaka iishe.

Basi nikafungua biashara sehemu, akaidakia yeye akaanza kuisimamia, sijawahi ona hata mia kutoka kwenye ile biashara, kodi ya pango ikaisha, hela hata mia, ikabidi nilipie tena kodi, bado sioni kitu yaani kama hakuna biashara inaendelea,ukimuuliza anakuwa mkali

Basi nimeamua kutolipa tena kodi ya pango ikiisha, na TRA Silipi. Nimemsema sana lakini naona habadiliki.

Nimfanyeje mwanaume wa hivi khaaaa
Muwekee sumu kwenye chakula mkuu
 
The Happiness

The Happiness

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Messages
826
Points
1,000
The Happiness

The Happiness

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2018
826 1,000
na ulijikakamua haswaa,ujue hawa watu wanatufundisha sana kuwa na roho mbaya. kuna siku nimenunua matunda ya mtoto tu. wakati mtoto anakulaatei na yeye akaanza kuyafakamia.nikamshika mkono. vip mbona unakula matunda ya mtoto akanijibu. kwa kuwa ya kwangu sisyaoni nikamwambia nendakanunue ule haya sio yako.akaniambia nikula haya haya .ni kwambia haya huli nekabeba mtoto wangu na matunda yangu nikatoka nje dogo akayala yote.
Jamani huyo mwanaume hana hata aibu,
 
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
18,738
Points
2,000
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
18,738 2,000
Acha ulimbukeni, fanya kazi tafuta zako!!
 
Forum statistics

Threads 1,315,258
Members 505,171
Posts 31,851,647
Top