Mkuu umetereza kidogo hapo,hiyo inakunywa Lita 1 kwa km 53.so Lita 3 inatembea km 159+Kinatumia lita 3 kwa kilometa 400
Nilikuwa nauliza swali kijanjaMkuu umetereza kidogo hapo,hiyo inakunywa Lita 1 kwa km 53.so Lita 3 inatembea km 159+
Hahaha...umemchomekea akajaaNilikuwa nauliza swali kijanja
Unamaanisha nini hapo?Zipo hapa mtaani kwetu Magomeni, njoo ucheze na watoto wetu ila kwa uangalizi wetu wazazi.
Uje kuendesha hizi pikipiki za kitoto na wanetu....ukiwabaka tunakubaka na weweUnamaanisha nini hapo?
Uje kuendesha hizi pikipiki za kitoto na wanetu....ukiwabaka tunakubaka na wewe
Mkuu niliwah kwenda dukan mim na shem wangu ( wakike) mkoan huko alikapenda haka kapikpik....Nakumbuka Tulichukua Mil 3.4 Na hyo ilikua 2014...... Tabora huko Now day sijajua kama imesimama ama imeshuka zaid!!!
Lakin zinatofautiana quality!! Kama ni za india bei inasimama kidogo tofaut! Na za Japan ama Used from uk!!!!
N.B
Bajeti yako isishuke chini ya Mil 2.5 mpka 3M......ndio utaipata hii mashine!!!!!!
Kijana mwenzangu Baki nayo h!! Maana itakua fedhea!¡¡Waliwakutaa nyie ni wasukumaaa...! Hiyo haizidi mil 2 tena mpyaa dukanii..
wee subbutu labda sio click.ni zile haojue pia zipo hivo.1.5 ~7Waliwakutaa nyie ni wasukumaaa...! Hiyo haizidi mil 2 tena mpyaa dukanii..
Weka bei?Zipo pikipiki used ya South African bei nzuri karibu View attachment 1677247
View attachment 1677248
View attachment 1677249
View attachment 1677250
View attachment 1677251
View attachment 1677252
View attachment 1677253
View attachment 1677254
View attachment 1677255
Watu wa JF kwa nyodoZipo hapa mtaani kwetu Magomeni, njoo ucheze na watoto wetu ila kwa uangalizi wetu wazazi.
Picha ya saba bei gani?Mkuu unachagua nakupa ila bei nakuahakikishia aifiki M3
Basi ni nzuri,Mbezi to Kariakoo and back unatumia 2,100/=...Mkuu umetereza kidogo hapo,hiyo inakunywa Lita 1 kwa km 53.so Lita 3 inatembea km 159+