GOD my watcher
JF-Expert Member
- Oct 9, 2019
- 299
- 269
Wapigaji wamekua wengi hivyo nikijua bei itanisaidia.
Mkuu wewe ni mwalimu?
Click hiyo mpya unapata milioni sita inategemea na toleo ila used mpaka mbili unapata.Wapigaji wamekua wengi hivyo nikijua bei itanisaidia.View attachment 1664513
Mkuu wewe ni mwalimu?
Click hiyo mpya unapata milioni sita inategemea na toleo ila used mpaka mbili unapata.
Sijuhi mkuu ila nahisi kwa sababu ya brand yake pia hizi pikipiki ni mashine kuliko hizo boxer na TVsKwanini ziwe na bei kubwa kuliko hata boxer au tvs?
Vipi upande wa service ni sawa na Vitz?Hiyo bei yake ni sawa na Vitz.
Nani kakuambia hii toy inauzwa? Hii ni picha tu jamaa alikuwa anaringishia mtandaoni.Wapigaji wamekua wengi hivyo nikijua bei itanisaidia.View attachment 1664513
Nani kakuambia hii toy inauzwa? Hii ni picha tu jamaa alikuwa anaringishia mtandaoni.
click hio ni ndege.kwanza ina rejeta ina spid boxa ihaifikii.zipo mpka za milion 8Kwanini ziwe na bei kubwa kuliko hata boxer au tvs?
Zipo hapa mtaani kwetu Magomeni, njoo ucheze na watoto wetu ila kwa uangalizi wetu wazazi.Mimi nataka kama hio
Hii ni bei ya used mkuu mpya kwa hapa bongo hakuna labda uagize.Mil 1.5