Naomba kujuzwa: Tango transport nini kilimpata

Naomba kujuzwa: Tango transport nini kilimpata

Ndio hivyo halafu Sumaye mwenyewe anapiga chapuo la urais?

Halaf huyu Sumaye sijui mtu wa namna gani..kuna issue ya kanisa la KKKT kuhusu hosp.ya DCMC inasadikika ya yeye yumo..tutaskia mengi na time will tell..ila its too low for you Sumaye
 
I was waiting poor like you to come up with such def.

I repeat....TANGO DID TAX INVERSIONS.....not tax evasion...!!!

Go back to class...!!! Tango alikuwa analipa KODI...ila he was filing very low income ili alipe kodi kidogo sana to such a big company....tht is TAX INVERSIONS not TAX EVASION....I knew kenge mmoja atajibu hivyo...!!

Tax evasion, ni KUTOLIPA KODI KABISAAA

Tax inversion..ni kulipa kodi kidogooo kwa kuidanganya serikali unapata mapata madogoo, au some wana file kupata hasara sana ktk biashara, na kuonyesha statistics na net profits at tht particular year of tax...ili alipe KODI KIDUCHUU....hilo ni kosa kubwaa kufanya tax inversions....Wahindi wengi hapa Tanzania hasa Dar, ndio wanafanya mchezo huu....wanalipa kodi kidogoooo sanaaa, wakificha mapato halisi ya biashara zao, na kodi legally hulipwa kutokana na kipato...so ukificha kipato halali na kuonyesha kidogoo utalipa tax kidogoooo....tht is TAX INVERSIONS.....sio TAX EVASION....

Shilole ndio nani...?? pimbi ww...👌👌

Duuh...mimi mwenyewe ni kilaza lkn nimeelewa hapa..kama hajaelewa mfungulie Twisheni kabisaaaa..asante kwa ufafanuzi
 
Halaf huyu Sumaye sijui mtu wa namna gani..kuna issue ya kanisa la KKKT kuhusu hosp.ya DCMC inasadikika ya yeye yumo..tutaskia mengi na time will tell..ila its too low for you Sumaye


Sumaye..ni mtu mmoja mbaya sanaaa....Lowassa ndio alimkomesha kabisa...alimchinjia baharini hukoo Hanang ktk uchanguzi wa NEC ya wilaya...Mary Nagu akapita...ni mtu mwizi na has a very local mentality...witch doctor like...!!! poor him...!!!
 
A Very good story. Ndio maana naipenda mno JF. Huyu Elizabeth Olotu sasa hivi ni pilot wa shirika la ndege ama ameacha fani yake na kuwa mama wa nyumbani? mara ya mwisho kumsikia in the eary 90's alikuwa pilot wa zile Twin Otter zilizokufa ya Air Tanzania inayojifia zake..,!
 
Duuh...mimi mwenyewe ni kilaza lkn nimeelewa hapa..kama hajaelewa mfungulie Twisheni kabisaaaa..asante kwa ufafanuzi

Amekupotosha kimaandishi !
Ni tax avoidance na taxi evasion, moja ni kukwepa kabisa na nyingine ni kuto onyesha thamani halisi ya kitu pamoja na false declaration ya mapato au hesabu za biashara.
Kwakweli sijawahi ona mahali tax inversion!
 
Tango Transport Ltd mmiliki wake ni Verani aka Kwaang Yame mtu wa Babati -MWIRAQ Tajiri sana hajawahi kutoke na kama uliona magari yake ushahidi unayo tatizo lake hajui kuwekeza ndo maana hana nyumba za kutosha. Yard ya unga Ltd alipewa na Nino Chalangi baada ya kumsaidia Nino katika kesi yake. Ana magari ya mafuta Dar. Yeye anamagari machache ya kutembelea na anaishi Uzunguni Arusha. Huyu jamaa aligombana na Nyerere miaka ya 60-miaka ya ujamaa na nationalization akilazimisha kununua ndege wakati hana uwanja.
Swala la magari kuwa pale wachangiaji wengi wamezungumza.
Kama unamwenyeji wa Manyara atakuambia histora yake.

Felix Awade
Hapo kwenye ndege umechanganya! huyo ni Muarusha wa mwanzo mwanzo kuchimba Tanzanite na ikamkubali. Kwa sasa ni marehemu.
 
Last edited by a moderator:
huyu mzee watoto wake hawakusoma. Wote waliishia form four isipokuwa huyo Joseph ndo alifika form six na akarudi kumanage magari. Kifupi life waliyokuwa nayo walibweteka na wazazi hawakuwapa msisitizo wa shule.

Alisomesha watoto wake Marekani, wengine walizamia na wengine walirudi na Rasta
 
Alisomesha watoto wake Marekani, wengine walizamia na wengine walirudi na Rasta

Labda kama unaongelea watoto wa nje ila watoto wake aliokuwa anaishi nao Haile Selasie, Uzunguni wote wameishia form form isipokuwa Joseph ambaye naye alirudi kuendesha malori yao.
 
Sikia huyu mzee inasemekana magari wakati yanaingizwa nchini yalikuwa yanaingia kwa jina la kanisa katoliki mbulu so wajanja wakaisanua serikali, na alikuwa ameajiri madereva wambulu tupu, wanaendesha magari na migorori..!!

Filbert Bayi na yule Gidamis Shahanga waliwekeza hapo Malori kadhaa !
Hii michezo ya Wakiristo wengi, ndio maana Pinda alipotaka kufuta misamaha ya Kodi, viongozi wote wa Kanisa na wakuu wa vigango na parokia wakahamia Dodoma. Ikabidi Pinda achomoe. Wakubwa wa Kanisa wanapifa hela tu.
 
Labda kama unaongelea watoto wa nje ila watoto wake aliokuwa anaishi nao Haile Selasie, Uzunguni wote wameishia form form isipokuwa Joseph ambaye naye alirudi kuendesha malori yao.

Wakike wawili na wakiume mmoja walikwenda Marekani kusoma. Wakike ndio walirudi marasta. walichopata, sikuwahi kukijua (if graduted )
 
Tango, alifanyiwa unyama na Serikali kuwa halipi kodi, malori yake yote yalisimamishwa, ila sbb ilikuwa akimsapoti Augustine Mrema kwa fedha za kampeni...

Kesi ilifunguliwa court ya Dar, kuhusu TAX INVERSIONS...ila after 13 yrs ya kesi, Tango alishinda kesi, na alilipwa Tshs 80 billions pending tax deductions...!!! So alipata fedha nyingi nyingi baada ya kushinda kesi.....!!!

Huyu Mzee ni Kati ya wahanga wa Kodi kandamizi Za Serikali .....TRA walikuwa wanamdai Kodi .....Sasa Badala ya kujadiliana naye ili alipe kidogo kidogo au wapige mahesabu vizuri .....WAKAENDA kukamata ile yard yenye Magari yake ...Ndio yakaanza kuharibika ...Sasa sijui kisa cha kubambikiwa Kodi kubwa nini au sijui Ndio Ile ile mfanyabiashara alionekana anachangia wengine
Alipata kukalamika hadi IKULU kwa Nyakati tofauti ..lakini haikusaidia ....akaenda mahakamani ...akashinda ikaagizwa TRA wa fidie uharibifu uliotokea kwa Magari kukamatwa na fidia ya loss of business ...pesa nyingi Sana ......NAZO hawajamlipaa .........basi Ndio wakawa wamemmaliza ...amebaki na pesa kidogo tu ya Mboga
Kingine pia umri umeenda na anaumwa uzee Sasa ....Kiasi hata kufuatilia Hiyo fidia pengine kakata tamaa ...mawakili wanakula pesa ...na Serikali hailipi ....labda watoto wake wafuatilie

Kwa sisi tulioishi na kumjua alikuwa Kati ya wafanyabiashara wazawa walioweza kutajirika Enzi ya Mwalimu ...Enzi zile ukiona mfanyabiashara Ana Stawi ujuwe Kweli anafanya kazi na hapakuwa na ujanja ujanja wa kukwepa Kodi mwingi ....mtu aliyeweza kustawi Enzi zile angetakwa kwa Sasa awe tajiri kuliko Bakhressa .......Huyu Mzee miaka ya 80 alikuwa na fiat ,Scania na Leyland Zaidi ya 100 ....ni Kati ya Watanzania waliokuwa na Magari mengi kabisa

Kuna haja ya mamlaka ya Mapato kuja na utaratibu wa kuwalinda wafanyabiashara hasa wazawa wasifilisike ......maana mwisho wa Siku Serikali pia inakosa Mapato ...kuna matajiri wengi Sana wazawa ni Kama Huyu UKianza kuhesabu wamefilisika sio kwa kuwa hawakuwa waaminifu Bali kwa kuwa hawakuwa na Elimu kubwa wanabambikiwa Kodi na maafisa wasio waaminifu .



Mkapa alipoingia kwenye urais alipoteza maadili ya kibiashara na kusababisha wale wafanyabiashara waliotajirika kutokana na kilimo,ufugaji,uvuvi na madini kufilisiwa na maafisa wa TRA .
Hawa watu walijiamini kuwa wanaweza kufanya biashara bila kujipendekeza kwa wanasiasa na siasa za CCM .Matokeo yake aliyebakia ni Ndesamburo peke yake wengne wote waliundiwa zengwe na kuitwa wapinzani wa ccm.TRA wakapewa kazi ya kuwashughulikia.

Mwingine aliyeshughulikiwa alikua ni Askofu yule Tajiri wa madini.

Sasa tumebaki na matajiri wajanjawajanja wanaoshirimiana na viongozi wa umma kuiba mali za serikali.

Kifupi Nkapa hakupenda watu wa kawaida wenye elimu ndogo wawe mabilionea. Ndio maana alipoingia madarakani aliwasambaratisha wachimbaji wadogo wa madini wa Mirerani.

Kiongozi asiyependwa na wananchi naye huwa hawapendi.
 
Typical Tabia Za matajiri wote wa KANDA ya Kaskazini .....,kwanza raia wana Tabia ya ku appreciate matajiri ...Wakati wengine nyodo Za matajiri hawa zinawaudhi kwa Machalii hizi nyodo WANAONA kawaida Sanaa na wanasema Huwa zinawapa hasira ya kuzisaka pesa ....,.wala hachukii kabisa
Kwa Machalii ...hata kwenye familia Kama huna kitu lazima ulletewe nyodo ...ili upate hasira ....,Ndugu zako wanaweza hata kukutuma uwaoshee Viatu ...na wewe bila hiyana unaenda kwa kuwa huna kitu ....,na wewe ukipata pia unapiga bakora .....ni nyodo Za maendeleo .
Ukija Huku mjini kuna vijana wako tayari hata kulala barazani ili tu warudi na maendeleo ...fighters

Watu wa Kaskazini wana tabia za kukopi tabia za nchi jirani kuabudu pesa na kiburi na madharau. Kaskazini daladala zao wanapiga graffity kama Nairobi.
 
Wabunge wa upinzani waanze na hii ktk kampeni arusha waonyeshe unyama huu naimani ipo cku Tanganyika tutakuwa na mwanga mpya sasa tupo gizani
 
Ila Tango anadharau jamani! wakati ana hela alifika ofisi moja kumuona director wa hiyo ofisi, bahati mbaya akakuta boss hayupo akamwita secretari wa bosi atoke nje yele dada alipotoka kufika nje tu, Tango aka cheka kwa dhrau sana eti, loh, kumbe unashep mbaya namna hii, rudi tu dada haya maelezo ni marefu mno utavunja hivi vimiguu vyako ukisimama muda mrefu, weeee dada alilia huyo, Tango dharau nayo imemfikisha hapo.

Dah kama kweli aliyasema hayo wacha tu afilisike.
 
Usisemee analazimisha basi tu ..wanasiasa wengi ni wachache wa fadhila ....

Sioni Mwanasiasa hata mmoja wa zama hizi ..ambaye hakufaidika na fadhila Za Huyu Mzee Kipesa

So kusema analazimisha kumuona JK sio halali ....wewe unaweza kulazimisha au Mimi ...lakini Huyo ni mtu ambaye JK akimuona tu Hana namna ya kukataa kumuona kwa kuwa huenda Wakati akiwa na Hali nzuri ..alikuwa naye anaenda ofisini kwa Huyo Mzee kwa Hiki au lile ...

KIMSINGI kwa kuwa Mzee Huyu anadai Bilioni 80 ..na USO wa mwanadamu umeumbwa na haya ..lazima Rais Kama mwanadamu Ataona aibu kuonana naye Kama Hana Jibu la Kumpa ...kwa kuwa anajua ni makosa ya Serikali kukamata Mali zake ..yamemfilisi Mzee wa watu ...Sasa atamjibu nini Kama hakuna pesa Za kumlipa ..na akizingatia alikuwa mwema kwake Zamani



Saa nyingine huwa nawafikiria magaidi kama watu wabaya tu lakini huenda kuna mambo mabaya waliyotendewa kwenye maisha yao ndio maana wanakua watu katili sana. Hebu fikiri jinsi maisha yake yalivyobadilishwa kuwa ya kimaskini mpaka akapata kiharusi na kuzeeka ghafla Japo umri wake sio mkubwa sana. Yote hayo ni maamuzi ya kikundi kidogo cha watu kisichojia hata harufu ya umaskini.Kimeamua mpka kudharau amri ya mahakama.

Hapo akitokea kijana wake na kujiunga na alshababu ili tu alipe kisasi tutamshangaa sana lakini kumbe moyoni ana uchungu mkali sana na anaona watu wote ni wabaya wasiojali hata mahakama.
 
Eeehh...there is a great job to our NATION to save its
citizens....nawahurumia many...imagine...!!!!

Now DEFINITIONS after DEFINITIONS...kama bado na ww huelewi nenda Msikitini muombe Allaah akubadili ur brain...!!!

1: TAX EVASIONS 👉 is an illegal practice where a person, organization or corporation intentionally avoids paying his/her/its true liability....!!!

2: TAX INVERSIONS ( WHICH IS exactly TAX
AVOIDANCE ) 👉 is a practice of using legal means of paying least amount of tax possible...this is different from tax evasion which is using illegal means to avoid
paying tax....tax avoidance(inversions) is not tax planning which involves using tax reliefs by government for the purpose which is intended...tax inversions is
using tax laws to obtain a tax advantage
which the Govnt never intended...!!!!

So...Tango, he legally used many tax loop holes to pay least amount of tax possible, eg using Makanisa...kuleta
malori yake, kuwahonga TRAs taxmen ili alipe tax ndogo
sana....wakati yeye na kanisa la Roman hawahusiani...so alikuwa anatumia advantage ya mgongo wa vitu mbalimbali kusamehewa kodi mfano bandarini...tht is using legal means to pay least tax wakati hana sifa za
kupata hiyo misamaha ya kodi...!!!

This is FINANCIAL LANGUAGE....be sensitive and keen...every subject has its own vocabulary language, which some are commonly used in daily life...be sensitive again..!!!

I am signing off here....KILA MTU ABEBE MZIGO WAKE MWENYEWE....!!!





Amekupotosha kimaandishi !
Ni tax avoidance na taxi evasion, moja ni kukwepa kabisa na nyingine ni kuto onyesha thamani halisi ya kitu pamoja na false declaration ya mapato au hesabu za biashara.
Kwakweli sijawahi ona mahali tax inversion!
 
Afadhali umesema, mi nashangaa watu wanamlilia humu hata kumjua hawamjui, tango ni mmoja ya watu wanadharau kwa binadamu wenzao kuliko mtu yoyote niliemuona kwa macho, wakati ana hela mbwa wake ndo alikuwa na thamani kuliko binadamu wenzake, alikuwa haruhusu mtu kupanda gari yake zaidi ya mbwa. Mpaka leo hapo Stanley bar wameandika mbwa hawaruhusiwi hapa, alikuwa anaingia na mbwa wake bar na kusema mbwa wake ni bora kuliko watu anaowakuta hapo bar. Vituko vyake ni vingi via kukera

Kweli mkuu chini ya hiyo bar kumeandikwa hivyo, hivi kwani stanley bar ni ya kwake? Hiyo bar ya siku nyingi sana bar yangu ya kwanza kunywa bia Arusha hapo.
 
Back
Top Bottom