Naomba kujuzwa: Tango transport nini kilimpata

Naomba kujuzwa: Tango transport nini kilimpata

Na hata TRA kumfikisha hapo ni ktokana na dharau zake, kulikuwa na mkutano wa wafanyabiashara wakati huo Tango akiwa tajiri, akawa anamjibu kwa dharau RC huyo kwa kila anachoelekeza, RC akakasirika ndio kagiza TRA imfilisi, dharau kapeleka hata kwa watoto ndio maana wote wamemuachia biashara yake afanye mwenyewe hakuna mtoto anaemsaidia hata kufuatilia madai yake.

Alijenga uzio wa yard yake bila kuzingatia kiwanja chake. akaongezea na open space. Akiambiwa avunje basi analinzisha.
Siku serikali ilipoamua, aliwekwa ndani na alipotoka ukuta wate upo chini. Hakujenga tena na tofali zimetitia ardhini
 
Filbert Bayi na yule Gidamis Shahanga waliwekeza hapo Malori kadhaa !
Hii michezo ya Wakiristo wengi, ndio maana Pinda alipotaka kufuta misamaha ya Kodi, viongozi wote wa Kanisa na wakuu wa vigango na parokia wakahamia Dodoma. Ikabidi Pinda achomoe. Wakubwa wa Kanisa wanapifa hela tu.

Una uhakika? sasa shahanga nae ni mkuu wa kanisa? au unapotosha umma..!!
 
Duuuuuuh
Pinda tena.
Amekua jasiri lini tena.Ameshindwa kuzuia serikali kununua magari ya kifahari ataweza misamaha ya kodi.
 
Umesahau kuwa kuna wafanyabiashara wengi wanatumia misikiti pia Kuleta vitu Kama ilivyo kwa wale wanautumia vibaya makanisa ...., Udini ukipitiliza huleta upofu ...hapo walioenda Dodoma umesahau kuwa ni VIONGOZI wa dini zote nchini .....Walitumia wawakilishi
 
Duuuuuuh
Pinda tena.
Amekua jasiri lini tena.Ameshindwa kuzuia serikali kununua magari ya kifahari ataweza misamaha ya kodi.

Mna sahau haraka sana! ......hiyo kitu Bakwata walisema hawana objection, lakini Maaskofu waliteremka Dodoma
 
Umesahau kuwa kuna wafanyabiashara wengi wanatumia misikiti pia Kuleta vitu Kama ilivyo kwa wale wanautumia vibaya makanisa ...., Udini ukipitiliza huleta upofu ...hapo walioenda Dodoma umesahau kuwa ni VIONGOZI wa dini zote nchini .....Walitumia wawakilishi

Ogopa uongo Mgalatia !
Toa shuhuda hapa Waslaam waliwahi kuingiza nini?
Waislaam hawakujihusisha na harakati zozote za kupinga. Usilazimishe ulaghai wenu kuwa kila mtu anafanya.
 
Una uhakika? sasa shahanga nae ni mkuu wa kanisa? au unapotosha umma..!!

Nimesema wao waliwekeza, na sijasema walikuwa viongozi wa Kanisa. Kuna tenda walipata mahali nilikuwa nikifanya kazi na chq za malipo alikuwa akichukuwa Bayi au Shahanga.
 
Bakhresa,Tango,Askofu wa Mererani,Jumanne Kishimba walifanyiwa hujuma na ccm kisa wana support upinzani
 
Labda kama unaongelea watoto wa nje ila watoto wake aliokuwa anaishi nao Haile Selasie, Uzunguni wote wameishia form form isipokuwa Joseph ambaye naye alirudi kuendesha malori yao.
Hivi unawafahamu au unababaisha? Kwa ulichoandika hapa sidhani kama unawafahamu utakuwa umehadithiwa tu stori. Tuache mambo ya ku discuss watu katika personal details. Matokeo yake mnaongea vitu visivyo sahihi. Ngoja nijinyamazie:biggrin1:
 
Umenikumbusha mwanaye 1 anaitwa Valentine(Valley) nilikuwa nasoma naye Mweka wildlife . Kwa wiki alikuwa anamaliza milion1 na upuuzi,halafu aje kusota mbaya na kukimbiwa na marafiki zake,akizipata tena wanarudi. Nilikuwa namtoa sana kwenye mafegi na viroba,alikuja akaenda South Africa kwa kaka zake,ila akarudi bongo. Nilionana naye kituo cha police usiku Arusha,nadhani alikuja kumtoa mshkaji wake. Alikuwa anaenda na lorry shuleni enzi zake. mwembamba kinoma.

Ukimuona sasa hivi kafanana sana na Whiz Khalifa nae kajipiga tattoo za kueleweka
 
Malori yake mengine mawili yapo Mbezi Beach kama unaelekea white sands hotel
 
Mna sahau haraka sana! ......hiyo kitu Bakwata walisema hawana objection, lakini Maaskofu waliteremka Dodoma

Ninachokataa ni kumtaja Pinda kwenye sakata hilo.
Pinda hana ujasiri huo.
Alikua ni waziri Wa Fedha wakati huo mh.Mkulo.
 
Ninachokataa ni kumtaja Pinda kwenye sakata hilo.
Pinda hana ujasiri huo.
Alikua ni waziri Wa Fedha wakati huo mh.Mkulo.

Alikuwa Kiongozi wa serikali bungeni. Na muswada husika ulipitishwa na Baraza la mawaziri ambalo Mwenyekiti ni Rais. Hivyo alikuwa anawajibika katika kushawishi kuupeleka na pia kuutoa wakati mambo yanapokuwa magumu
 
Malori yake mengine mawili yapo Mbezi Beach kama unaelekea white sands hotel

Huyu bwana ilikuwa chuki binafsi na viongozi wa wilaya ya arusha mjini.nakumbuka kuta za yard yake zilivunjwa na matofali yakaangukia magari yake na kuyaharibu.Ni mchapa kazi pamoja na utajiri wake alikuwa anaendesha truck and trailer to dar
 
Filbert Bayi na yule Gidamis Shahanga waliwekeza hapo Malori kadhaa !
Hii michezo ya Wakiristo wengi, ndio maana Pinda alipotaka kufuta misamaha ya Kodi, viongozi wote wa Kanisa na wakuu wa vigango na parokia wakahamia Dodoma. Ikabidi Pinda achomoe. Wakubwa wa Kanisa wanapifa hela tu.

Mkuu huyu mzee kampuni ilikua y kwake pekee ngao ndio ilimtajirisha kipindi hicho pamoja n kubeba bia za tbl,alipopishana kauli na sumaye serikali ikamletea zengwe kwenye mashamba yake ya ngano then wakakamata malori yake.mabinti zake wamesoma vizuri na wanafanya kazi dar
 
Wagalatia ni wezi, wadanganyifu na mafisani. ushahidi ni ushiriki wenu w@ escrow (Kanisa na Maaskofu)

Wezi kuliko ?.yule anayejenga maghorofa na kuweka cha Juu Bilioni 30 ...kila Jengo ...., Hiyo pesa haitakaa irudi in our life time ....., katika uwekezaji wa Majengo ya kawaida angalau miaka 10 hadi 15 ..pesa zirudii .......Unapokuza gharama Za ujenzi kwa asilimia 100 % ni hatari .
 
Back
Top Bottom