Huyu Mzee ni Kati ya wahanga wa Kodi kandamizi Za Serikali .....TRA walikuwa wanamdai Kodi .....Sasa Badala ya kujadiliana naye ili alipe kidogo kidogo au wapige mahesabu vizuri .....WAKAENDA kukamata ile yard yenye Magari yake ...Ndio yakaanza kuharibika ...Sasa sijui kisa cha kubambikiwa Kodi kubwa nini au sijui Ndio Ile ile mfanyabiashara alionekana anachangia wengine
Alipata kukalamika hadi IKULU kwa Nyakati tofauti ..lakini haikusaidia ....akaenda mahakamani ...akashinda ikaagizwa TRA wa fidie uharibifu uliotokea kwa Magari kukamatwa na fidia ya loss of business ...pesa nyingi Sana ......NAZO hawajamlipaa .........basi Ndio wakawa wamemmaliza ...amebaki na pesa kidogo tu ya Mboga
Kingine pia umri umeenda na anaumwa uzee Sasa ....Kiasi hata kufuatilia Hiyo fidia pengine kakata tamaa ...mawakili wanakula pesa ...na Serikali hailipi ....labda watoto wake wafuatilie
Kwa sisi tulioishi na kumjua alikuwa Kati ya wafanyabiashara wazawa walioweza kutajirika Enzi ya Mwalimu ...Enzi zile ukiona mfanyabiashara Ana Stawi ujuwe Kweli anafanya kazi na hapakuwa na ujanja ujanja wa kukwepa Kodi mwingi ....mtu aliyeweza kustawi Enzi zile angetakwa kwa Sasa awe tajiri kuliko Bakhressa .......Huyu Mzee miaka ya 80 alikuwa na fiat ,Scania na Leyland Zaidi ya 100 ....ni Kati ya Watanzania waliokuwa na Magari mengi kabisa
Kuna haja ya mamlaka ya Mapato kuja na utaratibu wa kuwalinda wafanyabiashara hasa wazawa wasifilisike ......maana mwisho wa Siku Serikali pia inakosa Mapato ...kuna matajiri wengi Sana wazawa ni Kama Huyu UKianza kuhesabu wamefilisika sio kwa kuwa hawakuwa waaminifu Bali kwa kuwa hawakuwa na Elimu kubwa wanabambikiwa Kodi na maafisa wasio waaminifu .
Kweli anao watoto wa Kutosha ..wengine wanaishi Uingereza ambako nako Ana nyumba ...na wengi hasa wa kiume wako hapa ..lakini.. wataendeleza nini Kama malori yake yote yalikuwa seized ...na Baada ya mahakama kuona alionewa ikaamrishe Serikali ilipe Bilioni 80 Kama fidia ....huu mwaka wa 10 hajalipwa ..
Nadhani watoto wake wana Magari machache yanaendelea kufanya kazi .
Ni Kweli Ukuta wake pale Natuonal Million ulivunjwa na utawala wa Mwinyi ...na hakuwahi kujenga tena ..kwakuwa nao haukuvunjwa kwa utaratibu kukaawa na Kesi ....sidhani na Hiyo Kesi Ikifika wapi
Kama serikali bado haijamlipa fedha zake naishauri aipeleke kesi yake kwenye Mahakama za kimataifa za kibiashara.
Bilioni 80 za miaka ya late 90's ni sawa na bil 200 za sasa.
Ila Tango anadharau jamani! wakati ana hela alifika ofisi moja kumuona director wa hiyo ofisi, bahati mbaya akakuta boss hayupo akamwita secretari wa bosi atoke nje yele dada alipotoka kufika nje tu, Tango aka cheka kwa dhrau sana eti, loh, kumbe unashep mbaya namna hii, rudi tu dada haya maelezo ni marefu mno utavunja hivi vimiguu vyako ukisimama muda mrefu, weeee dada alilia huyo, Tango dharau nayo imemfikisha hapo.
Afadhali umesema, mi nashangaa watu wanamlilia humu hata kumjua hawamjui, tango ni mmoja ya watu wanadharau kwa binadamu wenzao kuliko mtu yoyote niliemuona kwa macho, wakati ana hela mbwa wake ndo alikuwa na thamani kuliko binadamu wenzake, alikuwa haruhusu mtu kupanda gari yake zaidi ya mbwa. Mpaka leo hapo Stanley bar wameandika mbwa hawaruhusiwi hapa, alikuwa anaingia na mbwa wake bar na kusema mbwa wake ni bora kuliko watu anaowakuta hapo bar. Vituko vyake ni vingi via kukera
Mkuu kuna hela alilipwa ila nadhani ni kidogo mana case alishinda ila malipo ya serikali ye2 unaweza subiri miaka 20.yeye alikua na ugomvi na sumaye ndio chanzo cha matatizo yke cz sumaye alitumia uwaziri mkuu kummaliza halafu ugomvi wenyewe ulikua w kijinga tu
Afadhali umesema, mi nashangaa watu wanamlilia humu hata kumjua hawamjui, tango ni mmoja ya watu wanadharau kwa binadamu wenzao kuliko mtu yoyote niliemuona kwa macho, wakati ana hela mbwa wake ndo alikuwa na thamani kuliko binadamu wenzake, alikuwa haruhusu mtu kupanda gari yake zaidi ya mbwa. Mpaka leo hapo Stanley bar wameandika mbwa hawaruhusiwi hapa, alikuwa anaingia na mbwa wake bar na kusema mbwa wake ni bora kuliko watu anaowakuta hapo bar. Vituko vyake ni vingi via kukera
Kwa wafanyabiashara wazawa kustawi ni ngumu Sana ...Kama Sasa hivi utakuta wakimyima mtu michango ikitokea ameshinda ni Taabu ....Mbaya sana ...Ndio maana katiba mpya pia ingetakiwa iwalinde ....haiwezekani mtu Ana Magari Zaidi ya 200 ...malori ...kila Moja bei yake ya chini milioni 100 ..., Ana mashamba ya Ngano na shayiri ...,ma trekta ya kumwaga ...,faida yake inabaki nchini ...ameajiri karibu watu 1000 ...na analipa Kodi .... Them watu wanatumia udhaifu kwa kuwa yeye hawezi kucheza na mahesabu Kama wazungu Wawekezaji inamdai Kodi ..na Badala ya ku negotiate alipe kwa muda gani ....watu wanakimbilia ku seize Mali ,,..Sasa hapo aliyepata hasara ni nani ....maana yeye na familia yake hawawezi kufa Njaa ..lakini wale wafanyakazi wana Hali gani ???.
Nchi Kama marekani na zingine Serikali inasadia watu Kama Hao ...wangerudia mahesabu na hata wakipata deni wanakaa chini na kuweka payment plan ....na hata ikitokea anafilisika anapewa mkopo nafuu ...ili aendelee kuajiri ..
Watu Kama sabido na Ndesamburo ni ngumu kuwakamata kwa kuwa sabodo anafanya biashara ya stock ..pesa zinaingia nje Huko Huko ...Ndesamburo analeta watalii na wanalipia Huko Huko ...
Ndio hivyo halafu Sumaye mwenyewe anapiga chapuo la urais?
Kabisa Kama Huyu alikuwa awarded Bilion 80 miaka kumi iliyopita Leo Hii inaweza kuwa Bilions hata Zaidi ya 200 ...ukifanya interest ya asilimia 20 commutative miaka Zaidi ya kumi ....
Huyu Mzee nafikiri miaka ya mwisho ya Mwalimu ukiongelea matajiri 5 wazawa lazima yeye umgemtaja ..amekuwa tajiri kabla ya ?bakhressa ,Dewji , mengi na hawa wote .....Ina maana angeenda in the same pace na watoto wakaweka na Elimu ...angekuwa Kina Dangote ..serious ....
Kuna Wakati kampuni ya BIA ilikuwa inategemea Magari yake ..na kununua shayiri kwake ..fikiria hakusoma akifika hapo
Kama alishinda kesi kwa nini asikamate account s TRA kwa kutumia Garnishee Order? Ina maana hao mawakili wake hawalijui hili?
Ndio viongozi we2 hao istoshe wanatoka sehemu moja
Afadhali umesema, mi nashangaa watu wanamlilia humu hata kumjua hawamjui, tango ni mmoja ya watu wanadharau kwa binadamu wenzao kuliko mtu yoyote niliemuona kwa macho, wakati ana hela mbwa wake ndo alikuwa na thamani kuliko binadamu wenzake, alikuwa haruhusu mtu kupanda gari yake zaidi ya mbwa. Mpaka leo hapo Stanley bar wameandika mbwa hawaruhusiwi hapa, alikuwa anaingia na mbwa wake bar na kusema mbwa wake ni bora kuliko watu anaowakuta hapo bar. Vituko vyake ni vingi via kukera
Na hata TRA kumfikisha hapo ni ktokana na dharau zake, kulikuwa na mkutano wa wafanyabiashara wakati huo Tango akiwa tajiri, akawa anamjibu kwa dharau RC huyo kwa kila anachoelekeza, RC akakasirika ndio kagiza TRA imfilisi, dharau kapeleka hata kwa watoto ndio maana wote wamemuachia biashara yake afanye mwenyewe hakuna mtoto anaemsaidia hata kufuatilia madai yake.