Naomba kujuzwa Mikoa yenye hali nzuri ya hewa

lushoto. huku ni balaa pako kama kuna ac.. ukiwa pale mombo pana joto si kitoto ile hali ya hewa unashuka kadri unavopanda height kuelekea lushoto, hakuna raha kama kile kihali ya hewa kinavoshuka ukiwa unapanda juu. kamji flani ivi kamejaa wazungu .. na hata ngozi ya wenyeji ni ang'avu sababu ya hali ya hewa. matunda na vyakula kama parachichi, ndizi za kumwaga
 
Lushoto iko poa changamoto ni ile baridi,nakumbuka nilimpeleka dogo kufanya interview ya kifungilo girls pale lushoto primary, hotel tuliofikia kila asubui na jioni tulikua tunachemshiwa maji ,bila ivo huogi ata mwezi unaisha.
 
20210117_154809.jpg
 
Back
Top Bottom