hapa atakuwa anazungumzia ukaaji na chajiuwezo gani? ukubwa wa battery lenyewe, ama ukaaji chaji, ama depreciation ama uwezo gani unaotaka uujue?
Mkuu namaanisha hasa uwezo wa betri kukaa na chajiuwezo gani? ukubwa wa battery lenyewe, ama ukaaji chaji, ama depreciation ama uwezo gani unaotaka uujue?
Huwezi kupima na kifaa sababu matumizi yanatofautiana, unaweza tu ukaangalia benchmarks mbalimbali online ukaangalia njia zao wanazotumia kufanya benchmarks halafu ukarelate na matumizi yako.Mkuu namaanisha hasa uwezo wa betri kukaa na chaji
Kwahiyo multimeter haiwezi kutumika kupima betri ya simuHuwezi kupima na kifaa sababu matumizi yanatofautiana, unaweza tu ukaangalia benchmarks mbalimbali online ukaangalia njia zao wanazotumia kufanya benchmarks halafu ukarelate na matumizi yako.
Hapana huwezi, ungeweza kupima hivyo kama simu ingekuwa inafanya jambo moja tu mfano kupiga simu, ila simu zina zaidi ya mamilioni ya uses kila mtu anafanya jambo lake, kila simu ina processor yake, kila simu ina display yake etc hayo mambo yanaathiri battery tofauti tofautiKwahiyo multimeter haiwezi kutumika kupima betri ya simu
OK sawa mkuu nimekuelewa vipi kuhusu ukubwa wa betri yani mAh wenyewe unapimwa na kifaa kipiHapana huwezi, ungeweza kupima hivyo kama simu ingekuwa inafanya jambo moja tu mfano kupiga simu, ila simu zina zaidi ya mamilioni ya uses kila mtu anafanya jambo lake, kila simu ina processor yake, kila simu ina display yake etc hayo mambo yanaathiri battery tofauti tofauti
Simu zinakuwa na sensor ndani ambazo zinapima mambo mengi ukiweka software kama cpu z utaweza kujua ukubwa wa Mah ya battery.OK sawa mkuu nimekuelewa vipi kuhusu ukubwa wa betri yani mAh wenyewe unapimwa na kifaa kipi
Nimeona ni removable, Soma model yake mkuu katafute same model maana huwa zinaingiliana.Chief-Mkwawa Mimi naomba kuuliza je betri la kampuni ipo linafaa kufanya replacement kwenye Tecno pop2f maana simu ya dogo imekufa battery
Shida kupata inayofanya kazi Kwa ufanisi maana nyingi jau!!Nimeona ni removable, Soma model yake mkuu katafute same model maana huwa zinaingiliana.
Nimecheki ni BL-24ET unaweza hakikisha, Agrey hukosi
Hio ulionunua ni ya Tecno wenyewe? Aliexpress pia zipo labda ujaribu kwa nje, naona around 15kShida kupata inayofanya kazi Kwa ufanisi maana nyingi jau!!
Nilinunua same model ila halikai na moto Bora hata Bovu linahold kwa 30 min so why nikauliza aina ipi ni nzuri