Usisubiri simu yako iishe betri kabisa ndiyo uicharge

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,794
15,772
Je Maisha ya Battery ya simu yako (Android au Iphone) yanaonekana kupungua kadri unavyozidi kuitumia simu yako?

Hata hivyo hayajatengenezwa kuishi milele ila kuna namna tukufanya tutaweza kuongeza maisha ya betri hizo na kuzitumia kwa muda mrefu zaidi.

Leo ungana na mimi

1. Usisubiri simu yako iishe betri kabisa ndo uicharge

Betri za simu zina kiwango maalumu cha mzunguko wa kucharge (charging cycle).
Charging cycle ni idadi ya mara ngapi unacharge simu yako kutoka 0-100.

Tafiri zinasema kuwa battery hupungua uwezo wake wa kutunza charger kwa asilimia 20% baada ya mizunguko 400 ya kucharge kutoka 0% -100%.

Hivyo ukicharge simu yako kutoka 50%- 100% utakuwa umecharge nusu mzunguko hivyo umelinda maisha ya battery lako!.

2. Epuka kuiweka simu yako sehemu yenye joto/baridi kubwa

Kuweka bettry sehemu zenye joto sana/baridi sana kuna maliza battery haraka.

Battery zimetengenezwa kuishi kwenye temperature ya kawaida (room temperature). ambayo ni 20°C

Usitumie simu yani sehemu yenye Baridi chini ya 0°C na charge simu yako kwenye joto la kati ya 5°C mpaka 35°C.

Kama simu yako inapata joto sana wakati wa kuicharge, Ichomoe kwenye Charger.

3. Usiwe kila muda unacharge simu yako mpaka 100%
Ukiwa unacharge simu yako mpaka 100%. Voltage kubwa ya kila saa unapocharge simu yako mpaka 100% inaweza sababisha stress kwenye betri la simu yako Japo kuwa kucharge simu yako mpaka 100 hakuta haribu betri lako bali, utalinda maisha ya betri la simu yako kwa kulicharge mpaka 80%.

4. Tumia fast charger pale kwenye Umuhimu tu!

Fast charger zinatusaidia kwa kucharge simu zetu haraka lakini usitumie kila saa unapo-charge simu yako!

Fast chargers zinaleta stress kwenye betri za simu na kusababisha madhara kwa siku za mbeleni.
Chagua kutumia "slow" charger ili kulinda maisha ya battery.

5. Usipende kutumia Saana simu yako wakati unaicharge
Epuka kuitumia kwa matumizi makubwa kama kuangalia video Online au kucheza ma-game wakati ipo kwenye charge.

Matumizi ya simu kwenye charge yanaongeza voltage na joto kubwa kwenye simu Na kuongeza mzunguko wa battery(battery cycle) hivyo hupelekea batter kufa haraka kuliko inavyotegemewa!.

6. Tumia Power Saving modes kuweza kuongeza muda wa kutumia simu bika kuisha charge

Kwenye Android na iPhone kuna njia maalumu ya kuzuia simu kuisha charge mapema. Ambap njia hizo huzima apps zinafanya kazi bila wewe kuzitumia, inapunguza nguvu ya processor ya kufanya kazi Na kuzuia mambo mengine yanayosababisha simu yako kuisha charge mapema.

~Kwenye iPhone nenda control center kisha washa low power Mode.

~Kwenye Samsung nenda;
Settings>> Battry and device care>> Battery>> Power saving mode.

7. Tumia Charger iliyokuja na simu
Charge za makampuni mengine zinakuwa na voltage ratings tofauti ukitofautisha na zile ambazo zimeshauriwa kutumia na watengenezahi wa simu.

Kama simu yako imekuja bila charger, ni bora kutumia charger zinazotengenezwa na kampuni zilizo na bidhaa bora na quality kama samsung,apple, na zinginezo.

8. Charge simu yako kidogo kama hutaitumia kwa muda mrefu
Kama huitumii simu yako kwa muda mrefu ni bora ucharge simu hiyo mpaka 50% kwanza, usiicharge mpaka 100% kwani itakuwa inapungua kadri muda unavyozidi kwenda

Kucharge simu kwa 50% Kunazuia simu kuisha charge haraka ambapo itachargiwa baada ya muda mrefu wa kutotumia simu.

10. Hakikisha simu yako iko updated
Ku- Install updates za Android na iOS kunasaidia kutatua matatizo ya battery kuisha.
Kuna wakati mwingine Bugs zinasababisha stress kwenye betri ya simu yako. Hivyo uki-update simu itatuq matatatizo hayo.

Tread by:Njiwa wa flow/james munisi(Twitter x)

IMG_2409.jpg

IMG_2410.jpg

IMG_2411.jpg

IMG_2412.jpg

IMG_2413.jpg

IMG_2414.jpg

IMG_2415.jpg
 
Sasa kama na charge ikifika 50% na naitoa charge ikifika 80%. Mm na mtu mwenye 30% remains tunatofauti gani
 
View attachment 2733775
View attachment 2733776
View attachment 2733777
View attachment 2733778
View attachment 2733779
View attachment 2733780
View attachment 2733781
Ulichoongea ni kweli, usikilizwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom