Naomba kujuzwa kama kuna mtangazaji mkubwa wa redio na Televisheni za kiswahili ambaye hajapitia ITV na Radio one

Mkuu umenikumbusha mbali sana (hand of thanks)
......
Watangazaji nguli wengi ni uzao wa RTD now they call TBC, ila uzao wa jk hawajui kama kuna kulikuwa na hiyo kitu as "mama na mwana"
Pamoja sana mkuu. SALUTE....
 
JESE JOHN -TBC MICHEZO
ENOCK BUNYANE-TBC MICHEZO
FRED FELEX MASAWE - CLOUDS
ILA WENGI WAZURI WAMEPITIA ITV/RADIO ONE Bety Mkwasa, Misanya Bengi, Abdalla Majura, Rukia Mtingwa, idd ligongo, Neema mbuja, n.k
Dr.Bisanya Bingi

Daktari huyu wa falsafa chuo kikuu cha dar es salaam
 
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati. (RIP)
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic. (RIP)
Jacob Tesha. (RIP)
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala. (RIP)
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole). (RIP)

Wengi hapa ni marehemu

SIWATU LUWANDA (RIP)
 
Back
Top Bottom