Sijakiskia muda refu mkuu. Hakika kilikuwa kipindi murua Sanaa.Dah hiki kipindi cha Ugua pole nilikuwa nakipenda sana enzi hizo miaka ya 1990, Hivi bado kipo?
Sijakiskia muda refu mkuu. Hakika kilikuwa kipindi murua Sanaa.Dah hiki kipindi cha Ugua pole nilikuwa nakipenda sana enzi hizo miaka ya 1990, Hivi bado kipo?
Anaijua mwenyewe..ila nadhani ni radio bashiteHuyu ni mtangazaji wa radio gani mkuu.
Huyu mpaka anakuwa maarufu, hazikuwepo ITV wala Radio One Stereo!Wapio Tido mhando
Tumbo Tamimu RisasiAma kweli JF imejaa watoto siku hizi!
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).
Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
Tumbo Tamimu Risasi
Maiko Katembo,
Salim Mbonde,
Ananilea Nkya,
Beeen Kiko,
... Tido Muhando, wakati ule akianza na jina la "Dastan Tido Mhando"
Na bengine baendeleee......
Hapo namfahamu Godwin Gondwe tu. Na huyu nilimfahamia ITV/Radio OneMkuu ila Radio iliotoa watangazaji wengi wenye majina hapa Tanzania,, ni Radio Free Africa/Sahara media group
Godwin Gondwe
Paul James Sweya
Alex Ngussa
KidBoy
SkyWalker
Nassoro NsekeniAma kweli JF imejaa watoto siku hizi!
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).
Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
Well Said kaka mkubwa.Usiseme kutoka IPP media, sema kupitia. Wengi waliopitia hapo walitokea RTD, km anko J. Nyaisanga, Charz Hilari, Ahmed Kipozi, Abdalla Majura, Abubakary Liongo nk, na ndo waliweka msingi WA vipindi vingi vilivyopo leo
PJMkuu ila Radio iliotoa watangazaji wengi wenye majina hapa Tanzania,, ni Radio Free Africa/Sahara media group
Godwin Gondwe
Paul James Sweya
Alex Ngussa
KidBoy
SkyWalker
Huyu siyo mtangazaji ni muongeaji hata wewe unaweza!Adamu mchomvu hajapitia
sidhani kama inaishinda IPP Media..Mkuu ila Radio iliotoa watangazaji wengi wenye majina hapa Tanzania,, ni Radio Free Africa/Sahara media group
Godwin Gondwe
Paul James Sweya
Alex Ngussa
KidBoy
SkyWalker
Betty Mkwasa alianzia RTD wakati huo akijulikana kama Betty Chalamila!sidhani kama inaishinda IPP Media..
Julius Nyaisanga
Betty Mkwasa
Anna Mollel
Abubakar Sadik
Rose Chitala
Sudy Mnete
n.k
okay, mimi nilianza kumfahamu alipoenda ITV/Radio oneBetty Mkwasa alianzia RTD wakati huo akijulikana kama Betty Chalamila!
Ongeza,Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).
Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
Godwin Gondwe naye pia alishapitiaga ITV, news Anchor, Milard Ayo pia alishawahi pitia ITV news Anchor wa Habari za Michezo etc, Maulid kitenge vivyo pia, wapo wengi sana tuMkuu ila Radio iliotoa watangazaji wengi wenye majina hapa Tanzania,, ni Radio Free Africa/Sahara media group
Godwin Gondwe
Paul James Sweya
Alex Ngussa
KidBoy
SkyWalker
Humjui na unajifanya kumjua! Soma alichoandika mwenyeweMkuu Salim Kikeke hajawahi kufanya kazi ITV or Radio one....
Alijaribu kuomba kazi akakosa.
Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).
Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.