Naomba kujuzwa kama kuna mtangazaji mkubwa wa redio na Televisheni za kiswahili ambaye hajapitia ITV na Radio one

Nashukuru sana wakuu kwa michango yenu, naona ni wakati wa watangazaji mbalimbali wa radio/TVs mbalimbali nchini kujikita katika misingi bora ya utangazaji na uandishi wa habari zenye kuelimisha zaidi na sio kuburudisha zaidi maana jamii ya sasa ya watanzania na dunia kwa ujumla inahitaji kuelimika zaidi kuliko kuburidika.
 
Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!

Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).

Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
Mkuu shukrani kwa mchango wako. Lakini sio kosa jamii forum kuwa na vijana ambao nyie mnapenda kuwaita watoto.
Kumbuka miaka inaenda sasa vijana wasipojiunga na JF unategemea baada ya miaka 15 JF itakuwa na hali gani kama sio kufa.
 
Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!

Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).

Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.

Ungejibu na alichouliza kama unajua.. bila kuandika ya watoto.
 
Mkuu ila Radio iliotoa watangazaji wengi wenye majina hapa Tanzania,, ni Radio Free Africa/Sahara media group
Godwin Gondwe
Paul James Sweya
Alex Ngussa
KidBoy
SkyWalker
Hayo ndo majina makubwa...?? Namjua mmoja tu hapo
 
Mkuu shukrani kwa mchango wako. Lakini sio kosa jamii forum kuwa na vijana ambao nyie mnapenda kuwaita watoto.
Kumbuka miaka inaenda sasa vijana wasipojiunga na JF unategemea baada ya miaka 15 JF itakuwa na hali gani kama sio kufa.
Usipatwe na tambweta mkuu. Hiyo ni lugha nogesha. Sikuwa na nia ya kumkwaza kijana/mtoto yoyote. Ashakum si matusi.
 
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati. (RIP)
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic. (RIP)
Jacob Tesha. (RIP)
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala. (RIP)
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole). (RIP)

Wengi hapa ni marehemu
 
Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!

Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).

Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
hawa si wa wakati wa uwepo Wa itv\radio one
 
Ukisema mtangazaji mkubwa unamaanisha nini?
-umri?
-kipato?
-umaarufu?
Kufanyia kazi vituo vikubwa vya habari ndani na nje ya nchi pamoja na kukubalika na rika zote.
Usiseme kutoka IPP media, sema kupitia. Wengi waliopitia hapo walitokea RTD, km anko J. Nyaisanga, Charz Hilari, Ahmed Kipozi, Abdalla Majura, Abubakary Liongo nk, na ndo waliweka msingi WA vipindi vingi vilivyopo leo
 
Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!

Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).

Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
Dah hiki kipindi cha Ugua pole nilikuwa nakipenda sana enzi hizo miaka ya 1990, Hivi bado kipo?
 
Shkamoo
QUOTE="DrLove69, post: 25563295, member: 473275"]Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!

Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).

Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom