In my experience ps4 pro haijawai kuwa more expensive that xbox one x .iwe mtumba or new kama unauza ww nielekeze nije kuchukua hiyo one X kwa 750k
niuConsole zipo za aina mbili kuu(pendwa) xbox na playstation.. kwa sasa zilizopo kwny soko kidunia ni ps4 na xbox one (ingawa tayar washatoa ps5 na xbox series ) ambazo zitaanza kuuzwa kipindi cha sikukuu,,,, ps4 zipo matoleo matatu fat,slim na pro na kwa xbox kuna one,one S na one X ,,,,bei za console zinategemea sana aina ya console,umaarufu wake na game zilizopo pamoja na package uliyopewa ila mtumba ndo Affordable zaid.. zifuatazo ni bei za mitumba kwa hzo console tajwa hapo juu
Ps4 fat 450k
Slim 650k
Pro 850k
Xbox one 400k
Xbox one s 550k
Xbox one X 750k
Ukitaka ziwe na games ndan kwa xbox ongeza 50k+ ila kwa ps ongeza 200k+ kwa kila moja
Bei hazitofautiani na za online kabisa mzee tena