Naomba kujuzwa bei ya console na namna mtu anaweza kuagiza

In my experience ps4 pro haijawai kuwa more expensive that xbox one x .iwe mtumba or new kama unauza ww nielekeze nije kuchukua hiyo one X kwa 750k
Console zipo za aina mbili kuu(pendwa) xbox na playstation.. kwa sasa zilizopo kwny soko kidunia ni ps4 na xbox one (ingawa tayar washatoa ps5 na xbox series ) ambazo zitaanza kuuzwa kipindi cha sikukuu,,,, ps4 zipo matoleo matatu fat,slim na pro na kwa xbox kuna one,one S na one X ,,,,bei za console zinategemea sana aina ya console,umaarufu wake na game zilizopo pamoja na package uliyopewa ila mtumba ndo Affordable zaid.. zifuatazo ni bei za mitumba kwa hzo console tajwa hapo juu
Ps4 fat 450k
Slim 650k
Pro 850k

Xbox one 400k
Xbox one s 550k
Xbox one X 750k

Ukitaka ziwe na games ndan kwa xbox ongeza 50k+ ila kwa ps ongeza 200k+ kwa kila moja

Bei hazitofautiani na za online kabisa mzee tena
niu
 
mkuu kuna mambo muhimu sana ufahamu, mwaka huu wote Sony na Microsoft wanarefresh console zao, SONY wameshazindua playstation 5 series na Microsoft wamezindua xbox series X na S, hizi kwa sasa ndio latest kama unajiweza ni vyema kununua hizi over ps4 series na xbox one.

xbox series S ni $300 (bila mlango wa cd)
xbox series X ni $500
playstatuon 5 digital edition $400 (bila mlango wa cd)
playstation 5 kawaida $500

hizo ni bei za huko ughaibuni, kuzileta huku ongezea hela ya usafirishaji ambayo mara nyingi hulipwa kwa kilo, console ndogo ni kama kilo mbili, hivyo inaweza cost hadi laki 2 usafirishaji tu.

pia epuka sana site za kichina kununua vitu visivyo vya china, mara nyingi vimechakachuliwa ama bei ni ghali. tumia site za USA kwa vitu hivi ama kama una mtu anasafiri sehemu kama Dubai, Malyasia, india etc ni rahisi kuvipata kwa bei reasonable.

tofauti na console pendwa kuna Nintendo switch, yenyewe haina nguvu kama hizo hapo juu ila unaweza itumia kama handheld kwa kutembea nayo popote ama kuitumia na tv.

pia option nyengine ni kununua pc ya gaming badala ya console.
Nintendo naitafta aisee
 
Nintendo naitafta aisee
Nintendo Mtaani nyingi bei za kutupa, around laki 4 unapata.

Pia kuna Steam Deck siku hizi kama unataka ku run Games karibia zote kwenye console kama Switch.

valve-warns-users-to-buy-steam-decks-from-official-retailers_1hbz.2560.jpg
 
1. Bei ya console inaweza kutofautiana kutokana na aina ya console, ubora, nchi ya unakonunua, na mfanyabiashara unaenunua kutoka. Bei ya console mpya inaweza kuanzia $250 hadi $500 na zaidi kulingana na aina na ubora wa console. Hata hivyo, bei ya console ya kutumika inaweza kuwa chini kuliko bei ya mpya.

2. Unaweza kununua console online kupitia majukwaa mbalimbali kama vile Alibaba, AliExpress, au eBay. Hata hivyo, ni muhimu kuwa makini wakati wa kununua online na kuchagua muuzaji anayeaminiwa na anayetoa dhamana kwa bidhaa. Pia, hakikisha kuwa unanunua console kutoka kwenye tovuti za kuaminika na salama ili kuepuka kuwa na tatizo la utapeli au bidhaa bandia. Ni muhimu kusoma maoni ya wateja wengine kabla ya kununua ili kupata maoni zaidi juu ya bidhaa na muuzaji.
 
Back
Top Bottom