Naomba kujuzwa bei ya flat screen inch 24 kwa Dodoma mjini na Kahama

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Kwa wale ambao mpo maeneo hayo au mna watu walio katika maeneo hayo naomba mnielekeze bei ya flat screen size 24 za aina yoyote zinazopatikana maeneo hayo ili nifanye maamzi ya kununua itakayoendana na kipato changu.

Pia naomba kujuzwa bei ya king'amzi cha Azam katika maeneo hayo.

Nitashukuru
 
Ni 200,000 mpaka 240,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom