Naomba kujuzwa bei ya console na namna mtu anaweza kuagiza

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,167
2,000
Wadau habari zenu .. heading ni console nafahamu wapenzi wa video games mpo aware na hii kitu.

Personally nimepitwa kushoto na hii kitu japo nimekuwa interesting now days na hio kitu, kuna mambo nqomba watalaam washare knowledge kidogo

1.Console inapatikana kwa bei gani? (Kuagiza online)
2. je ni vipi mtu anaweza agiza au kununua online mfano labda kupitia alibaba, aliexpress or ebay (which one is the most konki )

MSAADA KUJUZANA
 
Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
1,950
2,000
Mkuu hujasema console ipi ya PC au ya playstation na kama ni ya playstation ni ipi 2,3 au 4
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,132
2,000
Wadau habari zenu .. heading ni console nafahamu wapenzi wa video games mpo aware na hii kitu..
Nunua PS4 kwa bongo used utapata hata kwa lak 7 mpaka 8, kuna xbox 360 lakini utakosa games nyingi bora tu uende na PS4. Unaweza pata online amazon ama ebay.

Aliexpress sina hakika labda kama wataka console za kichina kule na sikushauri ununue console za kichina, simaanishi copy namaanisha consoles zao nyingi zina run android so zinacheza magame ya simu.
 
king herode

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
275
500
Console zipo za aina mbili kuu(pendwa) xbox na playstation.. kwa sasa zilizopo kwny soko kidunia ni ps4 na xbox one (ingawa tayar washatoa ps5 na xbox series ) ambazo zitaanza kuuzwa kipindi cha sikukuu,,,, ps4 zipo matoleo matatu fat,slim na pro na kwa xbox kuna one,one S na one X ,,,,bei za console zinategemea sana aina ya console,umaarufu wake na game zilizopo pamoja na package uliyopewa ila mtumba ndo Affordable zaid.. zifuatazo ni bei za mitumba kwa hzo console tajwa hapo juu
Ps4 fat 450k
Slim 650k
Pro 850k

Xbox one 400k
Xbox one s 550k
Xbox one X 750k

Ukitaka ziwe na games ndan kwa xbox ongeza 50k+ ila kwa ps ongeza 200k+ kwa kila moja

Bei hazitofautiani na za online kabisa mzee tena
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,167
2,000
Nunua PS4 kwa bongo used utapata hata kwa lak 7 mpaka 8, kuna xbox 360 lakini utakosa games nyingi bora tu uende na PS4. Unaweza pata online amazon ama ebay. Aliexpress sina hakika labda kama wataka console za kichina kule na sikushauri ununue console za kichina, simaanishi copy namaanisha consoles zao nyingi zina run android so zinacheza magame ya simu.
Okay sasa mtalaam hapo amazon console naweza kupata ambazo ni za cheap kama laki 4 iv
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,167
2,000
Console zipo za aina mbili kuu(pendwa) xbox na playstation.. kwa sasa zilizopo kwny soko kidunia ni ps4 na xbox one (ingawa tayar washatoa ps5 na xbox series ) ambazo zitaanza kuuzwa kipindi cha sikukuu,,,, ps4 zipo matoleo matatu fat,slim na pro na kwa xbox kuna one,one S na one X ,,,,bei za console zinategemea sana aina ya console,umaarufu wake na game zilizopo pamoja na package uliyopewa ila mtumba ndo Affordable zaid.. zifuatazo ni bei za mitumba kwa hzo console tajwa hapo juu
Ps4 fat 450k
Slim 650k
Pro 850k

Xbox one 400k
Xbox one s 550k
Xbox one X 750k

Ukitaka ziwe na games ndan kwa xbox ongeza 50k+ ila kwa ps ongeza 200k+ kwa kila moja

Bei hazitofautiani na za online kabisa mzee tena
Bingwa big up sanaa yaan nime elewa kizazi sanaa. Na vip kunusu risk mfano mtu akicheza pS4. Kwa mudaa mrefu bila kuipumzisha hakuna risk za kuungia au malfunctions zozote
 
king herode

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
275
500
Mashine zipo vzur sana mkuu ni ngumu sana kuharibika hzo ingawa matatzo ya hapa na pale yapo mkuu
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,088
2,000
Wadau habari zenu .. heading ni console nafahamu wapenzi wa video games mpo aware na hii kitu.

Personally nimepitwa kushoto na hii kitu japo nimekuwa interesting now days na hio kitu, kuna mambo nqomba watalaam washare knowledge kidogo

1.Console inapatikana kwa bei gani? (Kuagiza online)
2. je ni vipi mtu anaweza agiza au kununua online mfano labda kupitia alibaba, aliexpress or ebay (which one is the most konki )

MSAADA KUJUZANA
mkuu kuna mambo muhimu sana ufahamu, mwaka huu wote Sony na Microsoft wanarefresh console zao, SONY wameshazindua playstation 5 series na Microsoft wamezindua xbox series X na S, hizi kwa sasa ndio latest kama unajiweza ni vyema kununua hizi over ps4 series na xbox one.

xbox series S ni $300 (bila mlango wa cd)
xbox series X ni $500
playstatuon 5 digital edition $400 (bila mlango wa cd)
playstation 5 kawaida $500

hizo ni bei za huko ughaibuni, kuzileta huku ongezea hela ya usafirishaji ambayo mara nyingi hulipwa kwa kilo, console ndogo ni kama kilo mbili, hivyo inaweza cost hadi laki 2 usafirishaji tu.

pia epuka sana site za kichina kununua vitu visivyo vya china, mara nyingi vimechakachuliwa ama bei ni ghali. tumia site za USA kwa vitu hivi ama kama una mtu anasafiri sehemu kama Dubai, Malyasia, india etc ni rahisi kuvipata kwa bei reasonable.

tofauti na console pendwa kuna Nintendo switch, yenyewe haina nguvu kama hizo hapo juu ila unaweza itumia kama handheld kwa kutembea nayo popote ama kuitumia na tv.

pia option nyengine ni kununua pc ya gaming badala ya console.
 
Exqusite
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,189
2,000
Unalitumia Vibaya neno console,
Console sio lazima iwe game kama Xbox au Play station

Hata Kinanda ni console, hata mixer ya mziki ni console.

Simply console ni Device

ila sasa ww naona huko ulikojifunza console uliambiwa ni game

Badili hiyo heading na contents zako kutoka ‘ Console’ kwenda ‘Gaming console’ ili ueleweke nini unataka

Sijui kama umenielewa
 
troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
15,288
2,000
Vuta vuta mkuu hadi november inakuja ps5 na xbox series x.

Unaweza chukua hizo au ukachukua ps4 ambazo nahisi zitamwagika na bei itakuwa cheap labda.
 
troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
15,288
2,000
mkuu kuna mambo muhimu sana ufahamu, mwaka huu wote Sony na Microsoft wanarefresh console zao, SONY wameshazindua playstation 5 series na Microsoft wamezindua xbox series X na S, hizi kwa sasa ndio latest kama unajiweza ni vyema kununua hizi over ps4 series na xbox one.

xbox series S ni $300 (bila mlango wa cd)
xbox series X ni $500
playstatuon 5 digital edition $400 (bila mlango wa cd)
playstation 5 kawaida $500

hizo ni bei za huko ughaibuni, kuzileta huku ongezea hela ya usafirishaji ambayo mara nyingi hulipwa kwa kilo, console ndogo ni kama kilo mbili, hivyo inaweza cost hadi laki 2 usafirishaji tu.

pia epuka sana site za kichina kununua vitu visivyo vya china, mara nyingi vimechakachuliwa ama bei ni ghali. tumia site za USA kwa vitu hivi ama kama una mtu anasafiri sehemu kama Dubai, Malyasia, india etc ni rahisi kuvipata kwa bei reasonable.

tofauti na console pendwa kuna Nintendo switch, yenyewe haina nguvu kama hizo hapo juu ila unaweza itumia kama handheld kwa kutembea nayo popote ama kuitumia na tv.

pia option nyengine ni kununua pc ya gaming badala ya console.
Digital edition utalazimika kudownload tu? Au unaweza chukua external yako au flash ukaenda kuchukua mahali pia ukaingiza game?
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,683
2,000
Console zipo za aina mbili kuu(pendwa) xbox na playstation.. kwa sasa zilizopo kwny soko kidunia ni ps4 na xbox one (ingawa tayar washatoa ps5 na xbox series ) ambazo zitaanza kuuzwa kipindi cha sikukuu,,,, ps4 zipo matoleo matatu fat,slim na pro na kwa xbox kuna one,one S na one X ,,,,bei za console zinategemea sana aina ya console,umaarufu wake na game zilizopo pamoja na package uliyopewa ila mtumba ndo Affordable zaid.. zifuatazo ni bei za mitumba kwa hzo console tajwa hapo juu
Ps4 fat 450k
Slim 650k
Pro 850k

Xbox one 400k
Xbox one s 550k
Xbox one X 750k

Ukitaka ziwe na games ndan kwa xbox ongeza 50k+ ila kwa ps ongeza 200k+ kwa kila moja

Bei hazitofautiani na za online kabisa mzee tena
Useful reply!!
Asante
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,088
2,000
Digital edition utalazimika kudownload tu? Au unaweza chukua external yako au flash ukaenda kuchukua mahali pia ukaingiza game?
hawawezi ruhusu hata siku moja uweke game kwenye flash ama external umuhamishie mwenzako, kitu kama hiki kinaweza tokea mpaka console iwe hacked, na custom firmware iwekwe.

utatakiwa udownload mwenyewe, sema siku hizi hasa Xbox kuna subscription kama Gamepass, kwa kiasi kidogo kwa mwezi unapata access ya magame zaidi ya 100, officially haipo huku kwetu sema kuna watu wanauza card zake ebay, unaweza pata hata chini ya dola 3 kwa mwezi.
 
troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
15,288
2,000
hawawezi ruhusu hata siku moja uweke game kwenye flash ama external umuhamishie mwenzako, kitu kama hiki kinaweza tokea mpaka console iwe hacked, na custom firmware iwekwe.

utatakiwa udownload mwenyewe, sema siku hizi hasa Xbox kuna subscription kama Gamepass, kwa kiasi kidogo kwa mwezi unapata access ya magame zaidi ya 100, officially haipo huku kwetu sema kuna watu wanauza card zake ebay, unaweza pata hata chini ya dola 3 kwa mwezi.
Naona digital hata bei yake ni cheap.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,088
2,000
Naona digital hata bei yake ni cheap.
yah, pia digital kuna ofa za mara kwa mara, ujinga wa digital game sio lako, kesho microsoft akijisikia hapati Faida na kufunga server zake za Xbox huna pa kulipatia tena Hilo game tofauti na CD ambayo unaimiliki mwenyewe.
 
troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
15,288
2,000
yah, pia digital kuna ofa za mara kwa mara, ujinga wa digital game sio lako, kesho microsoft akijisikia hapati Faida na kufunga server zake za Xbox huna pa kulipatia tena Hilo game tofauti na CD ambayo unaimiliki mwenyewe.
But si unaweza kujail break ukawa unadownload tu na kuingiza then unacheza?
 
Masaba Misso Maduhu

Verified Member
Aug 29, 2019
58
125
Unalitumia Vibaya neno console,
Console sio lazima iwe game kama Xbox au Play station

Hata Kinanda ni console, hata mixer ya mziki ni console.

Simply console ni Device

ila sasa ww naona huko ulikojifunza console uliambiwa ni game

Badili hiyo heading na contents zako kutoka ‘ Console’ kwenda ‘Gaming console’ ili ueleweke nini unataka

Sijui kama umenielewa
Kweli mzee,mimi mtu wa mziki nilipoona neno console akili yangu yote ikaenda studio,baada ya kuanza kusoma nimebaki mdomo wazi sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom