luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Nunua PS4 kwa bongo used utapata hata kwa lak 7 mpaka 8, kuna xbox 360 lakini utakosa games nyingi bora tu uende na PS4. Unaweza pata online amazon ama ebay.Wadau habari zenu .. heading ni console nafahamu wapenzi wa video games mpo aware na hii kitu..
Okay sasa mtalaam hapo amazon console naweza kupata ambazo ni za cheap kama laki 4 ivNunua PS4 kwa bongo used utapata hata kwa lak 7 mpaka 8, kuna xbox 360 lakini utakosa games nyingi bora tu uende na PS4. Unaweza pata online amazon ama ebay. Aliexpress sina hakika labda kama wataka console za kichina kule na sikushauri ununue console za kichina, simaanishi copy namaanisha consoles zao nyingi zina run android so zinacheza magame ya simu.
Bingwa big up sanaa yaan nime elewa kizazi sanaa. Na vip kunusu risk mfano mtu akicheza pS4. Kwa mudaa mrefu bila kuipumzisha hakuna risk za kuungia au malfunctions zozoteConsole zipo za aina mbili kuu(pendwa) xbox na playstation.. kwa sasa zilizopo kwny soko kidunia ni ps4 na xbox one (ingawa tayar washatoa ps5 na xbox series ) ambazo zitaanza kuuzwa kipindi cha sikukuu,,,, ps4 zipo matoleo matatu fat,slim na pro na kwa xbox kuna one,one S na one X ,,,,bei za console zinategemea sana aina ya console,umaarufu wake na game zilizopo pamoja na package uliyopewa ila mtumba ndo Affordable zaid.. zifuatazo ni bei za mitumba kwa hzo console tajwa hapo juu
Ps4 fat 450k
Slim 650k
Pro 850k
Xbox one 400k
Xbox one s 550k
Xbox one X 750k
Ukitaka ziwe na games ndan kwa xbox ongeza 50k+ ila kwa ps ongeza 200k+ kwa kila moja
Bei hazitofautiani na za online kabisa mzee tena
mkuu kuna mambo muhimu sana ufahamu, mwaka huu wote Sony na Microsoft wanarefresh console zao, SONY wameshazindua playstation 5 series na Microsoft wamezindua xbox series X na S, hizi kwa sasa ndio latest kama unajiweza ni vyema kununua hizi over ps4 series na xbox one.Wadau habari zenu .. heading ni console nafahamu wapenzi wa video games mpo aware na hii kitu.
Personally nimepitwa kushoto na hii kitu japo nimekuwa interesting now days na hio kitu, kuna mambo nqomba watalaam washare knowledge kidogo
1.Console inapatikana kwa bei gani? (Kuagiza online)
2. je ni vipi mtu anaweza agiza au kununua online mfano labda kupitia alibaba, aliexpress or ebay (which one is the most konki )
MSAADA KUJUZANA
mkuu kuna mambo muhimu sana ufahamu, mwaka huu wote Sony na Microsoft wanarefresh console zao, SONY wameshazindua playstation 5 series na Microsoft wamezindua xbox series X na S, hizi kwa sasa ndio latest kama unajiweza ni vyema kununua hizi over ps4 series na xbox one.
xbox series S ni $300 (bila mlango wa cd)
xbox series X ni $500
playstatuon 5 digital edition $400 (bila mlango wa cd)
playstation 5 kawaida $500
hizo ni bei za huko ughaibuni, kuzileta huku ongezea hela ya usafirishaji ambayo mara nyingi hulipwa kwa kilo, console ndogo ni kama kilo mbili, hivyo inaweza cost hadi laki 2 usafirishaji tu.
pia epuka sana site za kichina kununua vitu visivyo vya china, mara nyingi vimechakachuliwa ama bei ni ghali. tumia site za USA kwa vitu hivi ama kama una mtu anasafiri sehemu kama Dubai, Malyasia, india etc ni rahisi kuvipata kwa bei reasonable.
tofauti na console pendwa kuna Nintendo switch, yenyewe haina nguvu kama hizo hapo juu ila unaweza itumia kama handheld kwa kutembea nayo popote ama kuitumia na tv.
pia option nyengine ni kununua pc ya gaming badala ya console.
Digital edition utalazimika kudownload tu? Au unaweza chukua external yako au flash ukaenda kuchukua mahali pia ukaingiza game?mkuu kuna mambo muhimu sana ufahamu, mwaka huu wote Sony na Microsoft wanarefresh console zao, SONY wameshazindua playstation 5 series na Microsoft wamezindua xbox series X na S, hizi kwa sasa ndio latest kama unajiweza ni vyema kununua hizi over ps4 series na xbox one.
xbox series S ni $300 (bila mlango wa cd)
xbox series X ni $500
playstatuon 5 digital edition $400 (bila mlango wa cd)
playstation 5 kawaida $500
hizo ni bei za huko ughaibuni, kuzileta huku ongezea hela ya usafirishaji ambayo mara nyingi hulipwa kwa kilo, console ndogo ni kama kilo mbili, hivyo inaweza cost hadi laki 2 usafirishaji tu.
pia epuka sana site za kichina kununua vitu visivyo vya china, mara nyingi vimechakachuliwa ama bei ni ghali. tumia site za USA kwa vitu hivi ama kama una mtu anasafiri sehemu kama Dubai, Malyasia, india etc ni rahisi kuvipata kwa bei reasonable.
tofauti na console pendwa kuna Nintendo switch, yenyewe haina nguvu kama hizo hapo juu ila unaweza itumia kama handheld kwa kutembea nayo popote ama kuitumia na tv.
pia option nyengine ni kununua pc ya gaming badala ya console.
Useful reply!!Console zipo za aina mbili kuu(pendwa) xbox na playstation.. kwa sasa zilizopo kwny soko kidunia ni ps4 na xbox one (ingawa tayar washatoa ps5 na xbox series ) ambazo zitaanza kuuzwa kipindi cha sikukuu,,,, ps4 zipo matoleo matatu fat,slim na pro na kwa xbox kuna one,one S na one X ,,,,bei za console zinategemea sana aina ya console,umaarufu wake na game zilizopo pamoja na package uliyopewa ila mtumba ndo Affordable zaid.. zifuatazo ni bei za mitumba kwa hzo console tajwa hapo juu
Ps4 fat 450k
Slim 650k
Pro 850k
Xbox one 400k
Xbox one s 550k
Xbox one X 750k
Ukitaka ziwe na games ndan kwa xbox ongeza 50k+ ila kwa ps ongeza 200k+ kwa kila moja
Bei hazitofautiani na za online kabisa mzee tena
hawawezi ruhusu hata siku moja uweke game kwenye flash ama external umuhamishie mwenzako, kitu kama hiki kinaweza tokea mpaka console iwe hacked, na custom firmware iwekwe.Digital edition utalazimika kudownload tu? Au unaweza chukua external yako au flash ukaenda kuchukua mahali pia ukaingiza game?
Naona digital hata bei yake ni cheap.hawawezi ruhusu hata siku moja uweke game kwenye flash ama external umuhamishie mwenzako, kitu kama hiki kinaweza tokea mpaka console iwe hacked, na custom firmware iwekwe.
utatakiwa udownload mwenyewe, sema siku hizi hasa Xbox kuna subscription kama Gamepass, kwa kiasi kidogo kwa mwezi unapata access ya magame zaidi ya 100, officially haipo huku kwetu sema kuna watu wanauza card zake ebay, unaweza pata hata chini ya dola 3 kwa mwezi.
yah, pia digital kuna ofa za mara kwa mara, ujinga wa digital game sio lako, kesho microsoft akijisikia hapati Faida na kufunga server zake za Xbox huna pa kulipatia tena Hilo game tofauti na CD ambayo unaimiliki mwenyewe.Naona digital hata bei yake ni cheap.
But si unaweza kujail break ukawa unadownload tu na kuingiza then unacheza?yah, pia digital kuna ofa za mara kwa mara, ujinga wa digital game sio lako, kesho microsoft akijisikia hapati Faida na kufunga server zake za Xbox huna pa kulipatia tena Hilo game tofauti na CD ambayo unaimiliki mwenyewe.
Ndio unaweza ila jailbreak inachelewa sana, mara nyingi mpaka wasitishe support ndio inapatikana kirahisi.But si unaweza kujail break ukawa unadownload tu na kuingiza then unacheza?
Kweli mzee,mimi mtu wa mziki nilipoona neno console akili yangu yote ikaenda studio,baada ya kuanza kusoma nimebaki mdomo wazi sanaUnalitumia Vibaya neno console,
Console sio lazima iwe game kama Xbox au Play station
Hata Kinanda ni console, hata mixer ya mziki ni console.
Simply console ni Device
ila sasa ww naona huko ulikojifunza console uliambiwa ni game
Badili hiyo heading na contents zako kutoka ‘ Console’ kwenda ‘Gaming console’ ili ueleweke nini unataka
Sijui kama umenielewa