Naomba kujua tabia za wasukuma

Kila familia ina masamvva yake na kaduku

Nenheleage o ntana gone, hiyo ni x ray babu k

Mfumo dume ndio mpango mzima. Jiandae kwa suprise za kutosha. Uchawi ni jambo la kawaida nk
 
Duh, wana haiba ya kufa mtu lakini waongo, matapeli kwa ujumla siyo waoaji, mimi mwanangu aliolewa usukumani cha moto alikiona, kapigishwa hadi matofaliLakini wakarimu sana, ukiwa kwao ukiomba maji ya kunywa wanakupa buyu la maziwa
duh!! mkuu mwanao walimfanyeje? walimwonea?
 
heeeeeeeeee!! kwahiyo usipovaa raba hawatakufurahia??enhe na ule ugali mgum ndo ule ukimpiga mbwa anabweka??
 
maswali yako mengi mno kikubwa ni kuwa kaamua mwenyewe kuwa nae mimi nauliza tu kufahamu huwezi jua ya Mungu mengi pengine namie ntajaaliwa huko! mimi wangu mjaluo
 
kwani ndugu ile taratibu ya kuwa na familia kubwa bado ipo hadi leo? hata kama mtu kasoma kaendelea?
 
Kuna dada aliwahi lalamika 'wanaggda km kutwanga kinu'
 
1. Awe na heshima
2. Asiwe mvivu
3. Asiwe mchoyo especially kwenye chakula hata vitu vingine pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…