stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Duh, wana haiba ya kufa mtu lakini waongo, matapeli kwa ujumla siyo waoaji, mimi mwanangu aliolewa usukumani cha moto alikiona, kapigishwa hadi matofali
Duh, wana haiba ya kufa mtu lakini waongo, matapeli kwa ujumla siyo waoaji, mimi mwanangu aliolewa usukumani cha moto alikiona, kapigishwa hadi matofali
Lakini wakarimu sana, ukiwa kwao ukiomba maji ya kunywa wanakupa buyu la maziwa

Mfumo dume ndio mpango mzima. Jiandae kwa suprise za kutosha. Uchawi ni jambo la kawaida
nk
huyu uvivu ulimtoa sukuma land sisi hatujazoea kuomba omba kama jamaa zetu wa kanda ile ya akina Matonya tunakula kwa jasho.....hivyo ajiandae kuja kula kwa jasho lake.
.......Ni wakarimu uchoyo tunasikia kwa majirani tu
.........Hatupendi mwanamke anaye ongea kama chiriku maana sisi ni watu wa kazi hatupendi longolongo.
.........Zile sketi fupi,vinguo vya kuonyesha maziwa aziache hukohuko atazikuta akija kuwasalimia baada ya kutuzalia watoto wa kutosha.
...........Ruksa ndugu zako kuja kukutembelea hata wasipotoa taarifa maana kinachowafanya watu wapige kelele wakitembelewa bila taarifa ni njaa tu,sisi njaa tunasikia hatujui inafananaje.
Baada ya kuyajua hayo karibu sana shemeji wise.
Wabheja kulomba bhabha...
Namkaribisha wifiii kwa mikono na miguu.. Masato na masangara ghete yamejaaga!!!
Anakaribishwa sn,mawifi tupo tumejaa tele. Wasukuma tuko wakarimu sn lkn cha msingi ajue kupiga magoti,salam za lwimbo ni muhimu kujua,asiwe mzembe yaan kufanya kazi hd mama mkwe aseme hiyo haipo kwet usukumani. Ajue kupika ugali wa asb wa " ndemi" na watoto,ajiandae kupata brekfast ya maziwa mgando na viazi au mchembe.
Kiufupi usukumani ni raha sana,atajua hd kukamua maziwa ya ng'ombe. Ngoja nikomee hapa,bhagwiza na bhichane ogongeja gange enguno kaliho minge nno.