SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,780
- 3,403
Kuna nyumba niliingia hivi karibuni dah ilikuwa ina nukia harufu nzuri ajabu
nimejikuta niko curious na nini hasa wanatumia....hadi nyumba inanukia vile
nilishindwa kuuliza sababu kilichonipeleka kilikuwa kingine kabisa
wenye tips za kuwezesha nyumba zetu zinukie hebu wekeni hapa
ni nini hasa mnatumia?
Hata udi unafanya nyumba inanukia vizuri sana