Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

Ukifika Ukerewe utashangaa na roho yako,unakijua kibambala?kikipikwa hcho kinanukia shombo humo ndani wiki tisa
Kibambala cha nini ye achemshe ngele tu

Atapata mnukio amazing...mwaka mzima
 
Lengo la kutaka nyumba kunukia (tofauti na uhalisia wake) huwa ni nini? Je ni kuficha harufu mbaya(ya uchafu)? Kama kuna uchafu unatoa harufu mbaya si ni bora kuutoa huo uchafu?
Mkuu mara nyingi harufu inatokana na vyakula unavyopika sio uchafu wa nyumba tu huleta harufu. Harufu ya chakula wakati wa kupika huishia kwenye macouch pazia carpet etc
 
Mkuu Ngabu huwa ni konyo sana......hata hivyo hunipa morali sana ya kutafuta vizuri.......
1478527186813.jpg


1478527202590.jpg


1478527288740.jpg
 
Hapana sijui kama uma mafans humu

Oh kumbe..

Ninao wengi mno.

Wakinimiss sana huwa wanashindwa kujizuia na kuanza kunitafuta kwa hali na mali.

Wengine hadi wanafikia hatua ya kunipigia simu na kuficha namba zao halafu nikipokea hawasemi kitu, wanaishia kuogopa tu.
 
Oh kumbe..

Ninao wengi mno.

Wakinimiss sana huwa wanashindwa kujizuia na kuanza kunitafuta kwa hali na mali.

Wengine hadi wanafikia hatua ya kunipigia simu na kuficha namba zao halafu nikipokea hawasemi kitu, wanaishia kuogopa tu.
Number ya simu wanaitoa wapi?Ok ndio maana wengine hadi pm wanakufata au wewe kuna mafans wako wengine unawafataga mwenyewe??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom