Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 342
- 162
Wadau habari za majukumu kwa muda mrefu?
Nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni $280 nikija mtaani kuna watu wanauza cd ya pc1 hadi pc3 kwa 30,000/= ya mwaka mzima.
Nashindwa kujua wao wanafanyaje ili kupata faida msaada na hitaji hii huduma ya kaspersky antivirus kwa ajili ya biashara sihitaji cracked nahitaji connection wa hili jambo maana ni changamoto kwenye huduma zangu.