Huko kwenye familia na ndugu ndio kuna wakatishaji tamaa wenye viwango vya degreeUhuni
Wizi
Hakuna lolote
Wakukutia moyo ni familia na ndugu zako.. Ukiona wanazingua jitie moyo mwenyewe.. Au nenda kanisani
Mie sifanyi ujinga huo kwenda kumlipa MTU aniambie unaweza.. Maana popote nilipoweza niliamka nikaenda nikaanza kufanya.. Na naamini hakuna anayeweza kwa kukaa na kusikiliza.
Chief mi nasoma between the lines na naona kbsa malengo yako ya kuanzisha huu uzi