Naomba kujua lengo la kuanzishwa inspirations talks, motivations etc

Uhuni
Wizi
Hakuna lolote

Wakukutia moyo ni familia na ndugu zako.. Ukiona wanazingua jitie moyo mwenyewe.. Au nenda kanisani

Mie sifanyi ujinga huo kwenda kumlipa MTU aniambie unaweza.. Maana popote nilipoweza niliamka nikaenda nikaanza kufanya.. Na naamini hakuna anayeweza kwa kukaa na kusikiliza.
Huko kwenye familia na ndugu ndio kuna wakatishaji tamaa wenye viwango vya degree
Chief mi nasoma between the lines na naona kbsa malengo yako ya kuanzisha huu uzi
 
Ni mpuuzi pekee ambaye hajui umuhimu wa vitabu ndio anaweza kujitokeza hadharani na kusema usomaji vitabu hauna umuhimu wowote kwa binadamu

Laiti hayo mnayosema yangekuwa sahihi binadamu tusingekuwa na maisha tuliyonayo sa iv kwani sehemu kubwa yanayogunduliwa sa iv muongozo wake upo kwenye maandishi kutoka kwa mababu wa kale

Umuhimu wa vitabu ni latika kupngeza maarifa yaan unaweza kuwa unafanya biashara bila ya kuwa na maarifa uka struggle sana lkn siku ukisoma kitabu chenye maarifa ya namna bora ya kuendesha biashara then tegemea mabadiliko makubwa kwenye biashara yako

Khs motivation speaker yes zina umuhimu wake hasa kwa wale wenye self doubt, hswa jamaa kazi yao ni kukupa courage kuwa inawezekana haina haja ya kuogopa so huwezi kuwakebehi watu km hawa wana umuhimu wao kwenye jamii, na hta jeshini watu wa motivation wapo, mwanajeshi kabla hajaingia kwenye ulingo wa vita lazima atakuwa na uoga flani sasa kazi ya kamanda wa notivation speaker ni kumpa speech ili kumjaza ujasiri hyu mwanajeshi ili kumuondolea hofu aliyokuwa nayo na kupambana , kwa hyp hawa jamaa wana umuhimu sio vizuri kuwakebehi

Hakuna mtu aliye dharau ila kila mmoja huenda na falsafa yake.

Si wote mtakuwa na mtazamo sawa mkafanikiwa maana wapo wengi tu ambao hawajawahi soma vitabu but they knew their responsibilities and they did it.

Kuna tofauti kati ya kumtia moyo na kufundisha jinsi ya kupata pesa.

Kuna msemo nilishauona mahali kuwa watu wanakuuliza kama umefanikiwa ila hawata kuuliza kama unafuraha.
 
HAKIKA JIBU SAHIHI
 
Kumbe basi wewe ni mmoja wa wale wanaosema action speak louder than words.
Unajua kutiana moyo ni very old concept.. Na kitamaduni inatolewa kwa upendo.. Na ni Bure. Tunakaa na wadogo zetu kama kaka zetu walivyofanya.. Wanatustudy wanajua mapungufu na watatushauri Mdogo wangu hesabu naona inakukamata sana.. Matokeo yako sio mazuri unaonaje juu ya ufundi?! Bro magari mie napenda sana.. Lakini nitatoboa maishani?! Basis tinashauriana cha kufanyika

Lakini ukishaanza kuingiza malipo juu ya hilo unawalazimisha watu 200wawaze au kufikiria kwa namna moja unaua authenticity ya MTU. Utanishaurije hata hujua matatizo yangu.. Unayageneralize na yawengine.. Source inaweza ikawatofauti.

Ukianza kuuza ushauri ..huwezi.kuwa sencere tena. Utakuwa mpaka rangi tu.. Lugha nzuri story za ulikuwa barabarani ukaona MTU anakunywa maji.. Ukaacha kazi yako ukaanza kuuza Leso ..Leo in mwaka Wa kumi unasafiri unawapa watu ushuhuda na kuwafundisha jinsi ya kuacha kazi zao.. SMH
 
Ipo siku nitatoa ushuhuda wa ni kwa namna gani motivations and inspirations zilinisaidia kufanikiwa katika maisha yangu. Achana na hizi inspiration talks za wachumia tumbo wa kibongo, hapa nazungumzia zile speeches za watu mashuhuri duniani. Kwa mfamo one of the best speech ambayo napenda kuiangalia mara nyingi ni ile Commencement speech ya Sean Combs (P Diddy) ambayo aliitoa mwaka 2014 akiwa anagraduate Howard University.
Tupe hata robo yake tuwe sawa.
 
Unajua kutiana moyo ni very old concept.. Na kitamaduni inatolewa kwa upendo.. Na ni Bure. Tunakaa na wadogo zetu kama kaka zetu walivyofanya.. Wanatustudy wanajua mapungufu na watatushauri Mdogo wangu hesabu naona inakukamata sana.. Matokeo yako sio mazuri unaonaje juu ya ufundi?! Bro magari mie napenda sana.. Lakini nitatoboa maishani?! Basis tinashauriana cha kufanyika

Lakini ukishaanza kuingiza malipo juu ya hilo unawalazimisha watu 200wawaze au kufikiria kwa namna moja unaua authenticity ya MTU. Utanishaurije hata hujua matatizo yangu.. Unayageneralize na yawengine.. Source inaweza ikawatofauti.

Ukianza kuuza ushauri ..huwezi.kuwa sencere tena. Utakuwa mpaka rangi tu.. Lugha nzuri story za ulikuwa barabarani ukaona MTU anakunywa maji.. Ukaacha kazi yako ukaanza kuuza Leso ..Leo in mwaka Wa kumi unasafiri unawapa watu ushuhuda na kuwafundisha jinsi ya kuacha kazi zao.. SMH
Hahaha

Ila mbona free zipo nyingi tu
 
Hakuna mtu aliye dharau ila kila mmoja huenda na falsafa yake.

Si wote mtakuwa na mtazamo sawa mkafanikiwa maana wapo wengi tu ambao hawajawahi soma vitabu but they knew their responsibilities and they did it.

Kuna tofauti kati ya kumtia moyo na kufundisha jinsi ya kupata pesa.

Kuna msemo nilishauona mahali kuwa watu wanakuuliza kama umefanikiwa ila hawata kuuliza kama unafuraha.
Kila mtu anaenda na falsafa yake yes! Na sio kudharau falsafa ya mwenzio ,nachoona kwenye huu uzi ni dharau to the maximum kwa motivation speaker kitu ambacho si sahihi!
 
Hahaha

Ila mbona free zipo nyingi tu
Upo sahihi.. Ila nachomaanisha ni kuwa unahitaji ushauri toka kwa mtu anayekujua.. Otherwise inakuwa sio ushauri. huo free utakuwa umeandaliwa kwa ajili ya MTU anayejulikana kwa mtoaji..na huenda ukawa bora zaidi jwa Huyo ila sio kwangu.

Lakini pia sipingi vitabu..napenda vitabu vinanipa nafasi ya mile mwenyewe kuupa context ujumbe..kuuelewa kulingana na mazingira yangu.. Na elimu yoyote haiwezi kuwa effective kama siwezi kuielewa kwa muktadha wa maisha yangu.

Having said that.. Nahitimisha kwa kusema ushauri unaonilenga kutoka kwa MTU anayenifahamu unakuwa umejengwa katika muktadha Wa maisha yangu utaeleweka kwa urahisi. Hii ni bora hata kwa watu tusioweza (ku-read between the lines?" Mkuu
 
Kila mtu anaenda na falsafa yake yes! Na sio kudharau falsafa ya mwenzio ,nachoona kwenye huu uzi ni dharau to the maximum kwa motivation speaker kitu ambacho si sahihi!
Sijadharau ila wewe tafsiri yako ndio imepelekea hivyo
 
Sawa!
Upo sahihi.. Ila nachomaanisha ni kuwa unahitaji ushauri toka kwa mtu anayekujua.. Otherwise inakuwa sio ushauri. huo free utakuwa umeandaliwa kwa ajili ya MTU anayejulikana kwa mtoaji..na huenda ukawa bora zaidi jwa Huyo ila sio kwangu.
Lakini pia sipingi vitabu..napenda vitabu vinanipa nafasi ya mile mwenyewe kuupa context ujumbe..kuuelewa kulingana na mazingira yangu.. Na elimu yoyote haiwezi kuwa effective kama siwezi kuielewa kwa muktadha wa maisha yangu.

Having said that.. Nahitimisha kwa kusema ushauri unaonilenga kutoka kwa MTU anayenifahamu unakuwa umejengwa katika muktadha Wa maisha yangu utaeleweka kwa urahisi. Hii ni bora hata kwa watu tusioweza (ku-read between the lines?" Mkuu
Sawa
 
kupoteza mda wa kwenda katika mikusanyiko ya inspiration talk ni ujinga.

haina tofauti na kupoteza mda kwenda kuombewa katika makanisa ya wachungaji wa kileo.

mmewahi kujiuliza kuhusu bakhresa, mengi na watu wengine waliofanikiwa nchini kama katika ujana wao waliowahi kuhudhuria inspiration talk?.

siwezi kuwa inspired kwa porojo, nakuwa inspired kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom