Rabbi asante
Member
- Sep 11, 2020
- 22
- 21
- Thread starter
- #21
Asante sn.Mkuu ipo gari ya bagamoyo -dodoma kila siku kama sikosei nauli yake ni 17000 kama siyo 18000 siyo basi kubwa.inapita chalinze kama haijajaza lakini huwa inakatisha msoga...kama huna haraka ni nzuri maana dodoma inafika kwenye sa kumi...uzuri ni kwamba gari ni ya uhakika my siblings wametumia several times kwenda home