Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Nimempata vizuri mkuu sokwe .....

Binti wa kibantu, hujambo? Huyo mwenzenu amejishushia heshima sana. Mwishoe tutafikia conclusion kwamba wanawake wote wa JF ni hovyo matap-tap!
 
Last edited by a moderator:
mmmh pole ndo inavyokuwaga mwanaume mpole lazima akutane na mwanamke mwenye visa na mikasa and viceversa

Mmh kweliii?Sio lazima bhana kila mtu na bahati yake.
Mbona wengine tumepata wapole wenzetu na life linasonga bila tatizo.
 
Drama za kichawi kama hizo mwanzoni mwa mwaka ni Mkosi mkubwa sana!Nakushauri usimtafute,she's just a psycho anataka kuzifanya hisia zako kama mdoli,nadhani atakuwa ana majini au alilewa!Na ukirudi atakufanyia jambo kubwa zaidi...pole!

Drama za kichawi!Ha ha ha ahsante Ms L kwa kunichekesha.
 
Mkuu Superbrand kwa heshima na taadhima nakuomba utaje herufi ya kwanza ya ID yake ili tu-connect dots...yu no war a'min!!:msela:
 
Last edited by a moderator:
Binti wa kibantu, hujambo? Huyo mwenzenu amejishushia heshima sana. Mwishoe tutafikia conclusion kwamba wanawake wote wa JF ni hovyo matap-tap!

Sijambo Kaveli kheri ya mwaka mpya.
Amsamehe tu na kumove on, kuna watu wakipendwa wanaamua tu kufanya vituko.
Sijui ni ushamba.
Hahahaaa mimi mtu akinitingishia kiberiti nakiwasha.
 
Last edited by a moderator:
Ni mwalimu wa shule Mmoja ya secondary ya jeshi mkoa wa Temeke! Jina kapuni ... Nitarudi baadae if needed.

Hahahaaaa najiuliza umemjuaje labda mhusika atupe jina ikiwezekana
 
Dhumuni la kushukia njiani ni kwamba jamaa asijue anakokaa...make huwezi niambia mtu anatoka ubungo mpk chamazi km anaenda angalia mechi za azam halafu ashukie njian.

Hahahaaaaa yan wew looo na hiyo avatar ndio kabisaaaa
 
Hahahaa mwaga info mkuu tuvuruge privacy take huyo mwalimu mwenye akili ya kamasi. coz ye kamvuruga mwanetu! Na kachafua credibility na wadada wa JF. Alafu mademu yenye nyodo hivyo huwa ni mabovuuuu sura sekrepa!

Kwa haya maneno hadi aibu jama duuuu
 
Hahahaa mwaga info mkuu tuvuruge privacy take huyo mwalimu mwenye akili ya kamasi. coz ye kamvuruga mwanetu! Na kachafua credibility na wadada wa JF. Alafu mademu yenye nyodo hivyo huwa ni mabovuuuu sura sekrepa!

Ha ha ha ha mkuu unatisha kwa kukandia dah.
 
Mkuu umeangukiwa na jumba bovu...

Kama miguu yako inaweza kuchanganya vizuri basi kaza mwendo ukimbie haraka mno...

Humu ndani kuna kila aina ya watu wengine wapo kibiashara, wengine ni vizabizabina wanatafuta tu habari, wengine ni mboga ya jana...nk
Happy New Year jirani.
 
Sijambo Kaveli kheri ya mwaka mpya.
Amsamehe tu na kmove on, kuna watu wakipendwa wanaamua tu kufanya vituko.
Sijui ni ushamba.
Hahahaaa mimi mtu akinitingishia kiberiti nakiwasha.

tena unakiwashia kichwani kwakwe. mimi mwenyewe mshipa wa 'true love' ushakatika kitaaaambo, alafu eti demu ajaribu kunitingisha kiberiti eti kisa nimemshow deep love, walahi ataishia kujutia hiyo test yake. kuna kupimana siku hizi karne hii bhana?! mambo hayo yalikuwa old-school back in ze day huko wakati huo Darisalama inaitwa Mzizima.

Matap-tap sana huyo mdada.
 
Hahahahaaa lol we mtu....
 
Hahahaaaaa umeonaee mkuu Kaveli mtu akileta utoto unatupa kwa dustbin. Ukishikwa shikamana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom