Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Kosa lako lilikuwa ni kucheza ngoma aliyokuwa akikupigia.
Kwa nini ulikwenda kumpokea wakati alikuwa tayari kaanza manyoka nyoka? Alipokuambia kwa kusisitiza umshushe, kwa nini hukumrudisha pale ulipompandishia? Alipokuambia anakupima, kwa nini hukumuomba majibu ya vipimo vyake? Siku nyingine mwanamke akitikisa kiberiti chako hakikisha anakikuta kimejaa. Huo ndiyo uanaume.
 
Sheria ya Jf ningekuwa naijua kuhusu kumuweka mtu hadharani kwa jina na picha ningefanya hivyo

Kuweka kumbukumbu sahihi kwa wanaotafuta mke Jf

Kwani kupitia kumjua ingesaidia kuokoa wana jamvi wengi kupata stress zisizo za msingi na za kuepukika na pia ingejenga Heshima kwa wa dada wengi wasio na tabia hiyo.
Na heshima ingekuepo hata watu wakitafutana humu.Naamini humu tunakuwa kama wana jamii wamoja tulioamua kushare mawazo yetu

Tukichukia uovu mbalimbali ktk jamii yetu na kukipeana ve+ advice kwenye matatizo ya kijamii pia

Regard,
Superbrand
 
Kosa lako lilikuwa ni kucheza ngoma aliyokuwa akikupigia.
Kwa nini ulikwenda kumpokea wakati alikuwa tayari kaanza manyoka nyoka? Alipokuambia kwa kusisitiza umshushe, kwa nini hukumrudisha pale ulipompandishia? Alipokuambia anakupima, kwa nini hukumuomba majibu ya vipimo vyake? Siku nyingine mwanamke akitikisa kiberiti chako hakikisha anakikuta kimejaa. Huo ndiyo uanaume.

Ni kweli Boss nadhani subira za kimapenzi zilinipumbaza bt nimejifunza.
 
atakuwa na mtu,so hana uhakika atokako na wala hana uhakika aendako.
take care bro,otherwise utakuwa ukiumia moyo tu.
 
Nimeamua kumtaja kwani naamini sio kosa kabisa kwani kuna viongozi wengu hutajwa huku watu wa heshima kabisa na wanawekwa hadi picha zao

Mfano Mh zitto,Dr Slaa,Raisi pia wanaongelewa kwa kashfa mbalimbali na watoa mada hawafanywi chochote

Watu wanatoa hadi siri za nchi na hawafanywi chochote Mimi nikimtaja tu ndo iwe kosa aaah wapi nasema waziwazi

Wanaotaka wamjue waniunge mkono nami nitasema si punde nikipata support ya member kumi nasema jina lake kila member amjue ili ajirekebishe
 
You will gain nothing. Zaidi zaidi utaambulia ban tu
 
You will gain nothing. Zaidi zaidi utaambulia ban tu

Asante ngoja nitulie kwani kutakuwa na double standard Mara nyingi watu wamekuwa wakiwasema watu humu na hata kufuatilia maisha kabisa na kuweka picha na hawapewi Ban mfano mtu anaanzisha Uzi wa king of all social media na hapewi ban zaidi ya kupata like

Poa ngoja niwe mpole kwani wengi walikuja pm kutaka kumjua tuki reason pamoja ni vyema au la
 
TRUTH is inner harmony......binadamu wengi kama siyo wote huwa hawapendi kufanyiwa kile wanachokifanya haswa kile chenye uelekeo wa maumivu........
 
Back
Top Bottom