Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,188
- 124,863
Ndo maana nlisema nawaogopa watu wa jf....Aisee tutaishia huku majukwaani tu...kuonana nooooo....
Lakini inategemeana na lengo la kuonana. Af kule nliona umekutwa na Bwana pepsi hujarudi tena...hahahaa