Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

asante kwa story yako! Inaonekana una kipaji kikubwa cha utunzi wa hadithi! Keep it up!
 
Nasikia sheria za Jf haziruhusu ningeku pm na kumtaja kabisa Omba ruhusa kwa Moderator na kanambia ana juana nao pia naogopa Ban Mkuu

Hahahahahahh......Poa Mkuu...Mi Nakupm # yangu, UtaniSMS ID Yake!!
 
Kaveli umenena hahahaaaa sisi wanawake sisi bwana ni changamoto jaman looo...... . MO11 kuna mistari inasema " kimbia faster toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka vumilia" sijui aliimba nani

Nyimbo waliimba marehemu wa wiwili
muite Langa R.I.P na Geez Mabovu R.I.P
 
Last edited by a moderator:
Kaandika sms eti nimeamua kumdhalilisha na kusema "Mark ma words ukifuata ushauri wa Jf you will ruin your life!! Sijui let me wait to be ruined by Jf advise

Ha she has nerves!!Huyo ndio anaetutesa wanawake wenzie kwa kuharibu akili za potential man kama wewe,uwii!hana aibu...
 
Nasikia sheria za Jf haziruhusu ningeku pm na kumtaja kabisa Omba ruhusa kwa Moderator na kanambia ana juana nao pia naogopa Ban Mkuu

Anakutisha Tu,moderators Kawajulia Wapi Huyo?
 
Samahani mtoa mada hicho kidosho kinafuatilia tamthilia zile za kifilipino na zile na kina alhandro (alejandro)
 
  1. Ingawa alikupima kwa kukuambia ana mtoto kwenye mangezi yenu kabla hata ya kuonana ulipaswa na wewe kuzungumzia swala lako la kuwa na mtoto. lakini hukufanya hivyo ulikuja kumuelezea siku ya kuonana tena baada ya kuulizwa, hilo ni kosa.
  2. Kuwa na mtoto ni jambo la kawaida sana, ila kuonesha mahusiano/mawasiliano ya wazi kwenye husiano mpya uliyouanzisha, hilo ni kosa.
  3. Siku za usoni anza kuwa wewe muwazi na maisha yako, ili mtu ajua anaingia katika mahusiano ya namna gani.
  4. Kitendo cha kuombwa kushushwa ghalfa ni kawaida kwa watoto wa kike kususa susa ovyo.
  5. Ila kitendo cha kuku zuia ghalfa kwenye whatsapp, massage hajibu, simu hapokei hiyo ni ishara ya kwamba alikuwa/ana mtu wake tayari, kwa hiyo kuwa makini usije ukatumiwa.

Ni kweli nilimueleza baada ya kuonana kwani pia hakuna lililoharibika kwani bado ni mapema mno na ni siku ambayo tumeonana

Pia sikuwa na Haraka ya kumweleza kuhusu huyu mwanangu kwani ninachokijua Mimi yeye alisema pasipo Mimi kumuuliza huyo mtoto wake lakini pia nikampokea ila yeye alipouliza kuhusu Mimi kuwa na mtoto na nikamwambia alihamaki?najiuliza alihitaji ambaye hana mtoto kama ni hivyo angefanya kuwa preference question, na sio kusubiri

Mimi nilichokuwa namfikiria ni kumpata mtu ambaye atakuwa msaidizi wa maisha tukashauriana pamoja na kujenga familia iliyo bora kuwa na mtoto kabla yake hakuathiri nafasi hiyo.

Kwani kwa kuwa na mtoto ni sehemu tu yamapitio ya maisha na bado Twaweza jenga familia bora yeye akiwa na wake nami na Wang

Shukrani
 
Mkuu amini kuna wanawake bora kuliko huyo,kuwa na subira.
 
Nashukuru kwa kuja kunisema huku loh.mwanaume na kuniita mpnz kote kule kuweka pozi ndo umekuja kulia huku...sasa kwa taharifa yako sikupendi ndo maana nimekudanganya...na usiku ule nilikuwa na mwanaume na pia niliposhukia pale kuna gesti nilienda nilikuwa na njemba

Unafanyiwa vituko coz amejua unampenda
..akupendae kwel hawez kukuacha uteseke..ana wanaume na sio mmoja kuwa mpole na uchape lapa kabla hujachelewa mwanaume huelew tu.
 
Ni kweli nilimueleza baada ya kuonana kwani pia hakuna lililoharibika kwani bado ni mapema mno na ni siku ambayo tumeonana

Pia sikuwa na Haraka ya kumweleza kuhusu huyu mwanangu kwani ninachokijua Mimi yeye alisema pasipo Mimi kumuuliza huyo mtoto wake lakini pia nikampokea ila yeye alipouliza kuhusu Mimi kuwa na mtoto na nikamwambia alihamaki?najiuliza alihitaji ambaye hana mtoto kama ni hivyo angefanya kuwa preference question, na sio kusubiri

Mimi nilichokuwa namfikiria ni kumpata mtu ambaye atakuwa msaidizi wa maisha tukashauriana pamoja na kujenga familia iliyo bora kuwa na mtoto kabla yake hakuathiri nafasi hiyo.

Kwani kwa kuwa na mtoto ni sehemu tu yamapitio ya maisha na bado Twaweza jenga familia bora yeye akiwa na wake nami na Wang

Shukrani

  1. Katika mapenzi mwanamke anashawishi kihisia, mwanaume anashawishi kimatendo. Kusema hukuwa na haraka ya kumuelezea siyo sahihi. Mwanaume anapaswa kuwa wa kwanza kuelezea karibia mambo mengi kuhusiana na uhusiano.
  2. Mwanamke ni mtu wa kufuata mara nyingi, ni mara chache anaweza kupinga au kukomaa na wazo lake. Sasa unaona akili za mwanamke na mwanaume zilivyotofauti. Yeye kakuelezea kuhusu yeye kuwa na mtoto umekubali, ila wewe kumuelezea kahamaki na hataki tena uhusiano. Ndivyo walivyo siku zote ukiwajua hawatakupa shida.
 
mkuu, hakuna mwanamke hapo. piga chini gume-gume hilo lisilojitambua. na kama alikuwa anatikisa kiberiti ili aone umezimikaje kwake, basi maliza kabisa na funga ukurasa! Umeliheshimu na kuchoma mafuta yako all the way from Ubungo to Mbagala, limeona lishafika mbagala alafu ndo linajifanya kususa na kushuka??!! si ajabu halijasema ata 'AHSANTE' kwa lift.

Demu anakuwa mkali/mkorofi kiasi hicho just at the FIRST DATE??!! puuuuuuuuh. huyo ndo maana kaishia kuzalishwa na kutelekezwa tu. Mwanaume gani anaejitambua aoe jike lenye akili-mibange kama hilo?

mademu wenye kupretend 'mapozi-mbuzi' kama huyo ndo huwa na-DELETE fastaaaa kwenye memory yangu, tena na-format kabisa.

Mkuu, pole kwa mkosi huo ambao naamini umekuharibia jioni yako ya leo. Plus ungekutana na 'Panya Road' wa Kova, ndo kabisaaa ungezimia na roho yako. Endelea kutafuta mke, wewe ni 'SUPER BRAND' bhana, Mungu akujaalie upate mke ambae ni super-branded as well.

-Kaveli-

Ushauri mzuri sana huu, weita mpe kinywaji
 
  1. Katika mapenzi mwanamke anashawishi kihisia, mwanaume anashawishi kimatendo. Kusema hukuwa na haraka ya kumuelezea siyo sahihi. Mwanaume anapaswa kuwa wa kwanza kuelezea karibia mambo mengi kuhusiana na uhusiano.
  2. Mwanamke ni mtu wa kufuata mara nyingi, ni mara chache anaweza kupinga au kukomaa na wazo lake. Sasa unaona akili za mwanamke na mwanaume zilivyotofauti. Yeye kakuelezea kuhusu yeye kuwa na mtoto umekubali, ila wewe kumuelezea kahamaki na hataki tena uhusiano. Ndivyo walivyo siku zote ukiwajua hawatakupa shida.

Thanks mkuu nashukuru nimejifunza sana
 
hayo mapenzi mbona kama ya kitoto flani hivi?
HATA MM NAONA
SI VIZURI KUJA KUADHIRIANA HUMU JF
hapa mm naona kila mtu ana mtu-we
na waendelee kivyao na wapenzi wao
kwani wapenzi wa JF ni sawasawa na binadamu wengine
waachane kwa usalama
 
Hukumwelewa alitaka muimbe nachi ka za kihindi, aliposhuka alitaka umkimbilie huku unaimba uchukue mizigo urudishe kwenye gar huku song linaendelea afu umbebe um kiss taratibu umrudishe garin.

Af ananjemba lake ni memba la panya road ndo maana shemeji zake hawakumdhuru.
 
Kaandika sms eti nimeamua kumdhalilisha na kusema "Mark ma words ukifuata ushauri wa Jf you will ruin your life!! Sijui let me wait to be ruined by Jf advise

Tell her to get mentally evaluation, I think she's sick! Who's goin to ruin ur life here? That's crazy.
 
Back
Top Bottom