Naomba kufahamu yule askofu aliyekiuka amri ya mahakama amekamatwa?

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
675
439
Wakuu salaam sana

Naomba kujua taarifa kuhusu yule Askofu wa Anglikana aliyeamuliwa na mahakama tukufu akamatwe, je amekamatwa?
mwenye taarifa amwage hapa Jamvini:der:
 
Hakuna Askofu aliyekiuka amri ya mahakama. Maaskofu ni watu waelewa na wanaongozwa na roho wa kweli, hawawezi kutotii mamlaka za nchi. Wewe ni mzushi unataka kutuchafulia janvi letu.
 
Wakuu salaam sana

Naomba kujua taarifa kuhusu yule Askofu wa Anglikana aliyeamuliwa na mahakama tukufu akamatwe, je amekamatwa?
mwenye taarifa amwage hapa Jamvini:der:

Mahakama za tZ zilizojaa rushwa na unyang'aji wa kupindukia wa haki za watu bado unaziita ni tukufu?
 
nasikia wameomba msaada beki ya dunia pesa za kumsafirisha kuto dar mpaka arusha kwani inasemekana itakuwa zaidi ya pesa iliyotumiaka kumsafirisha mbowe inasemekama itakuwa zaidi ya mil mia..
 
Hakuna Askofu aliyekiuka amri ya mahakama. Maaskofu ni watu waelewa na wanaongozwa na roho wa kweli, hawawezi kutotii mamlaka za nchi. Wewe ni mzushi unataka kutuchafulia janvi letu.Jibu swali! ingekua mtihan ungekula nyanjo.
 
Wewe hata ukiingia na majibu kwenye mtihani hutaweza kuyaandika.
 
Mbona jaji yule aliyetoa hayo maamuzi alikuwa hamaanishi? Alikuwa anatikisa kiberiti tu kama Werena kwa Lissu jana.
Tofauti huyu wa arusha hafuti kauli hadharani, ila matendo yatakayofuata baada ya kauli yake ndio huthibitisha kufutwa kwa kauli.
.
 
hakuna mahakama yenye uwezo wa kumkamata,wanalijua hio ndo maana wamekaa kimya-yupo anaendelea na shuhuli zake za kiaskofu kama kawaida
 
kwa jambo lile mahakama ya iliyojaa vilaza iliiingia choo cha kike. Waona haibu kuomba msamaha kaniasa.
 
Askofu/Mashehe kama Askofu/mashehe ni watu wa kuheshimika na watu wote, vinginevyo viongozi feki wa dini ndo wanaleta tabu duniani.
 
Back
Top Bottom