Naomba kufahamu taratibu na sheria za kuanzisha zahanati

hery_edson

Senior Member
Sep 24, 2014
151
164
Habari zenu wana Jamiiforus,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninaomba kujua taratibu za kuanzisha zahanati, kwa vipengele vifuatavyo:-

(i) Ujenzi wa jengo-Ninamiliki kiwanja chenye vipimo vifuatavyo 30m x 24m.
(ii)Gharama za Vifaa husika kwa ajili ya kuanza kazi.
(iii)Gharama za usajili wa zahanati pamoja na leseni za kuendesha huduma husika.

NB; Hii ni long-term project ambayo nitakua naijenga kwa kudunduliza (sitaki izidi miaka 3) kutokana na hali zetu za kiuchumi kua ngumu.

Kwa wale ambao wanajua ABC za kuanzisha project hii naombeni msaada wenu.
 
Mkuu umepata feedback ya watu? Hata mimi nahitaji kujua hizi steps
 
Jamani mko kimya sana, naomba kujua mtu akiwa na 100mil af akawa hana jengo wala kiwanja anataka kununua kiwanja na ajenge jengo lake mwenyewe la zahanati, hii budget inatosha kufanya hayo yote + ujenzi wa zahanati + ujenzi wa incinerator + kuweka vifaa tiba vyote vinavyohitajika + kuweka watumishi mf (CO 2, nurses 2, MAT 1, lab tech 2, phamacy 2 na mlinzi) iyo hela itatosha kurun hizo costs zote???
 
Inatosha.

Muhimu usi-complicate mambo.
 
Back
Top Bottom