Naomba kufahamishwa ubora na udhaifu wa Nissan Vannete NV 200

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
1,577
2,000
Mazuri ni gari imara na yenye nguvu. Madhaifu usiruke wala kuibania service, air cleaner isafishwe mara kwa mara, usije ukajaribu kuweka mafuta ya kidebe utaharibu nozzles na fuel pump.

Itunze gari ikutunze, ukiharibu hata rafiki zako hawatokupa deiwaka.
 
Top Bottom