Naomba shauri wa kumiliki gari ndogo

Kama ilivo heading,Kwa kipato chalaki sita keshi.ntaweza KUMILIKI Corolla sprinter,carina au ist second hand? Japo Kuna kibiashara kinaningizia japo 150000-220000 per month tofauti na kipato changu local government,naomba USHAURI Kwa wazoefu.
NB.naishi kwangu sijapanga,home to working station ni kama 1.5km kwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 1.5Km gari ya nini? Utaifaidi vipi sasa?
 
Back
Top Bottom