Hivi Marekani hutoa msaada pande zote yaani Israel na Palestina?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,550
1,422
Habari wakuu,mimi si mwanasiasa wala mchambuzi wa masuala ya kimataifa bali tu nataka kufahamu.

Naomba kuuliza kuhusu utoaji wa misaada ya kiutu kati ya Palestina na Israel ambayo hutolewa na umoja wa mataifa au taasisi zenye dhamana ya kufanya hivyo.

Je msaada huu hupewa wana wa Israel pekee au na wapalestina wanapewa sawa? Kama jibu ni hapana basi mgogoro huo waweza kuwa ni maslahi ya nchi kubwa za Magharibi (Marekani na washirika wake) Naitwa Deusi sifungamani na upande wowote

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Kwani ndama wako ukimlisha majani ili akue uje kula nyama.. cha kushangaza ni kipi?

Huu mfumo ulianzishwa na Mayor Rothchild Myahudi aliyekubali Urithi ule alioukataa Jesus kipindi cha mfungo wa siku 40.
Huyu Jamaa alikubali kupokea Utajiri wa Dunia.. nzima hadi kiama.. ndio alianza kukopesha pesa kwa ajili ya Vita pande zote zipiganazo.. vita ikiisha mnamlipa riba kubwa ukishindwa unachia ardhi dhahabu n.k ... so hadi leo ukitaka vita utamuona yupo kote words bank IMF n.k kwenye satellite n
K ukichoka vita lete pesa.. huna ardhi na ukishindwa analeta Jeshi lake likuchape anaweka uongozi wake hadi deni liishe au ndio forever hiyo
 
Inachekesha hao wajerumani wakina Rothschild wala hata hawana umri mrefu sana duniani ila wanavyo kuzwa kwa mambo ya kufikirika as if wamekuwepo duniani toka mwanzo wake🤡
 
Umeweka ubongo wako wazi mkuu funika mchanga usiingie... unapochangia kitu shusha point not ukiazi
 
Habari wakuu,mimi si mwanasiasa wala mchambuzi wa masuala ya kimataifa bali tu nataka kufahamu.

Naomba kuuliza kuhusu utoaji wa misaada ya kiutu kati ya Palestina na Israel ambayo hutolewa na umoja wa mataifa au taasisi zenye dhamana ya kufanya hivyo.

Je msaada huu hupewa wana wa Israel pekee au na wapalestina wanapewa sawa? Kama jibu ni hapana basi mgogoro huo waweza kuwa ni maslahi ya nchi kubwa za Magharibi (Marekani na washirika wake) Naitwa Deusi sifungamani na upande wowote

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Marekani ni mnafiki tu mauaji karibia yote duniani anahusika unawapa Israel silaha makombora risasi vifaru halafu Palestina unawapa msaada wa unga wa. Ngano na pipi za watoto.
 
Kwenye vita ya Israel vs Palestine, Wazayuni wanapewa silaha, pesa na intelligence, huku Wafilisti wakipewa misaada ya kibinadamu kama msosi na madawa.
 
Marekani ni mnafiki tu mauaji karibia yote duniani anahusika unawapa Israel silaha makombora risasi vifaru halafu Palestina unawapa msaada wa unga wa. Ngano na pipi za watoto.
Nadhani Vifaru Israel anatengeneza mwenyewe
 
Back
Top Bottom