Naomba kufahamu mambo mazuri na udhaifu wa Nissan Vannete NV 200. Hasa kwa matumizi ya barabara za changarawe.
Mimi ndiye dereva.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndiye dereva.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana. Ni upi ni ugonjwa wake wa kawaida?Mazuri ni gari imara na yenye nguvu. Madhaifu usiruke wala kuibania service, air cleaner isafishwe mara kwa mara, usije ukajaribu kuweka mafuta ya kidebe utaharibu nozzles na fuel pump.
Itunze gari ikutunze, ukiharibu hata rafiki zako hawatokupa deiwaka.
Hilo Sina ujuzi. Naomba ushauri. Injini Ni zipi? Tofauti zake ni zipi? Udhaifu ukoje?Labda unahitaji kwa yenye Engine ipi.?!