Naomba kufahamishwa ubora na udhaifu wa Nissan Vannete NV 200

Mazuri ni gari imara na yenye nguvu. Madhaifu usiruke wala kuibania service, air cleaner isafishwe mara kwa mara, usije ukajaribu kuweka mafuta ya kidebe utaharibu nozzles na fuel pump.

Itunze gari ikutunze, ukiharibu hata rafiki zako hawatokupa deiwaka.
 
Asante sana. Ni upi ni ugonjwa wake wa kawaida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom