Naomba kufahamishwa mambo kadhaa kuhusu SUA

Kwa nini asiweze? Acha kumuendekeza mtu mzima. Vyuo vyote bongo pamoja na sekondari za boarding watu wanakaa wengi kwenye vyumba au bweni. Yeye ana tatizo gani asiweze au anakojoa kitandani?

[emoji23][emoji23][emoji23] daah... ni kweli lakini. Dogo atakuwa na walakini. Labda kama amesoma shule za day miaka yote. Lakini pia inabidi ajifunze kukaa na watu sio kumuendekeza hivyo
 
Watu wanne room moja??
Chief kupeleka mtoto wa mwaka wa kwanza mtaani tena haswa anaetoka form 4 au 6 ni jaribu kubwa.Naamini hawezi kushindwa kukaa na wenzie watatu kwenye chumba kama ni mTanzania mwenzetu, aende azoee mazingira kama kupanga anaweza kupanga 2nd semester.
 
Ngoja nikupe mawili matatu kuhusu SUA
1. Kwa first year anatakiwa kukaa hosteli ili kuzoea mazingira tena awahi mapema, akipata hostel za ndani ni bora mana zipo karibu na college yake kuliko New hostel na Wami.
2. Kuhusu na maji sio mazuri kunywa kama kipato sio kizuri sana awe anachemsha tu asiishi maisha ya kununua maji mana yana gharama.
3. Sup ni kawaida kwa baadhi ya watu ila sio wote, anatakiwa ku balance kati ya mwalimu wa somo, credit hours na somo lenyewe, hakika sup atasizikia kwa wenzake
4. Top 3 zake ziwe 1. kusoma, 2. kusoma, 3. kusoma atapata GPA nzuri mwanzo mwisho ukilinganisha na kozi yake
5. Nazani ni ME, awe makini na mapenzi kwani kwenye kozi yake ndo kuna watoto wazuri bila hivo ataishia mwaka wa kwanza.
6. SUA ni ngumu haijalishi unasoma kozi gani ila ni ngumu na ina mambo mengi mbinu pekee ni kusoma tu.
 
Kuhusu Chakula
1. chakula upatikanaji wake ni rahisi na bei nafuu sana, kama atakuwa hostel za ndani basi atakula round cafeteria ambapo kuna za mwanafunzi na staff hvo ni chaguo lake yy na kwa hostel zingine hvohvo japo anaweza kwenda kula mtaani akiamua mana huwa kuna mama ntilie around the campus
2. chakula ndo huwa kinamaliza sana fedha hivo anatakiwa kuishi maisha yake la sivyo wiki mbili za kwanza anaweza ishi kama malaika ila zilizobaki akaishi kama shetani yani ni mwendo wa ndefu na kushindia mikate
3. Azingatie budget ikiwezekana aweke hela ya kula cafeteria kabisa yeye awe anaenda kula tu. hii njia huwa inasaidia wengi mana hata kama ukiishiwa hela unakuwa na uhakika wa kula.
 
Ahsante sana Chief... imenipa mwana hii. Vipi hii kozi kwenye upande wa kuajirika ipoje kwa uzoefu wako?
 
Ahsante sana kiongozi
 
Mdogo wangu mpendwa amechaguliwa hapo first round, naomba msaada kufahamishwa mambo kadhaa..

1. Malazi, vp kuhusu hili, kuna hostel za kutosha au ajipange kuchukua room mtaani, au anatakiwa awahi sana ndo atapata? Na km anapata hostel wanaishi wangapi kwa room moja?

2. Chakula, gharama za msosi ipoje hapo, na upatikanaji wake upoje?

3. Ni nin muhimu sana aje navyo ili maisha ya SUA yamuendee vema, na ni vitu gani aviepuke hasa ili kuishi vema SUA

4. Walimu wapoje hapo? Kuna fairness au ndo kukaziana hasa, wana haiba gan kiujumla

5. Karibu kwa chochote ambacho unahis ni muhimu kukifahamu kwa hapo SUA

NB: dogo anakuja kupiga kozi ya Bsc. Human Nutrition
SUA ni chuo kizuri sana...lakini ku sup au kudisco ni rahisi sana. Cha msingi akija akazane tu kwenye kusoma asi relax sana, mengine ni yy binafsi kwasab chuon ni maisha ya mtu tu.
 
Wakuu naombeni kufahamishwa course ya Bsc.Environmental science and management pale SUA ,,,,
 
Ahsante sana Chief... imenipa mwana hii. Vipi hii kozi kwenye upande wa kuajirika ipoje kwa uzoefu wako?
Kwasasa si kama zamani ambapo kozi nyingi zilizokuwa zinatolewa SUA zilikuwa na uhakika wa ajira, ila kwasasa ni janga kubwa ajira zipo ila chache sana hivyo yy asome tu apate angalau GPA nzuri itamsaidia mbele ya safari.
 
Karibu sana ukija piga msuli wako vizuri alafu bata ndo lifate vinginevo kudisco nje nje wazee wapo serious sana hapa utacheka nao nje ila kwenye result wananuna ila maisha Moro ni simple sana toka yr1 nipo nimepanga now naenda yr 4. Karibu sana ukija niletee karanga toka huko nyumbani zinasaidia sana haha natania
 
vyumba vya nje minmum price n ngap
 
MAPROF WA SUA NI VICHAA, MARKING SKIM YKE ANAWEZA KUPIGA SUP KAMA AKIICHANGANYA NA MAKARATASI YA WANAfunzi
Tena vichaa sana! Prof. Minja alimdisco sisha mtoto wake wa kuzaa anaitwa Macfyden je wewe mwingine utaponea wapi !
 
Mimi wa Muhas naibia point na iman zinaapply kote

Back
Top Bottom