Naomba kufahamishwa mambo kadhaa kuhusu SUA

Naomba kufahamishwa mambo kadhaa kuhusu SUA

Pamoja sana mkuu, so hostel kila mtu room lake, sio??
Chumba kimoja wanakaa watu wa 4 na hostel ni kwa freshers tu continuee wa anapata wachache na finalist ila masomo ni magum sana hasa hyo kozi walim ni watata
 
Duuh, basi huyu dogo itabid tu nimatafutie room mtaan, hawezi kabisa kuishi room la namna hiyo
Mtaani sio kuzur kwa freshers mazingira around ya chuo kuna vibaka sana watakuwa wanamkaba daily
 
Kwa kukuongezea kamanda wa polisi wa mkoa anaitwa wilbroad mutafungwa
 
Chumba kimoja wanakaa watu wa 4 na hostel ni kwa freshers tu continuee wa anapata wachache na finalist ila masomo ni magum sana hasa hyo kozi walim ni watata
Duh, dogo kazi anayo.. ila nilichomsisitiza ni nidhamu, bidii na kujitambua.. naamin akizangatia haya anaweza toboa pasi na shida. Sema kuishi room moja watu 4 ndo kitu kinachomtisha zaid, maana ni mkimya na hapendi kuchangamana ba watu kabisa
 
Chumba kimoja wanakaa watu wa 4 na hostel ni kwa freshers tu continuee wa anapata wachache na finalist ila masomo ni magum sana hasa hyo kozi walim ni watata

Mwambieni ukweli, room moja watu 8. Au hamna kubebana siku hizi??
 
Duh, dogo kazi anayo.. ila nilichomsisitiza ni nidhamu, bidii na kujitambua.. naamin akizangatia haya anaweza toboa pasi na shida. Sema kuishi room moja watu 4 ndo kitu kinachomtisha zaid, maana ni mkimya na hapendi kuchangamana ba watu kabisa

Mkuu, sasa kama hapendi kuchangamana na watu, huko darasani itakuwaje ? Atasoma peke yake ?
Atafanya discussion, presentation, assignments n.k peke yake ?
Msikitini au kanisani atakuwa peke yake?
Hapo baadae, kazini atafanya kazi peke yake ?

Dunia ya leo iko kinyume sana na msimamo wa huyo ''mdogo wako''.

She/He must learn the otherwise.
 
Tena vichaa sana! Prof. Minja alimdisco sisha mtoto wake wa kuzaa anaitwa Macfyden je wewe mwingine utaponea wapi !
Kuna mmoja alimshika mkewe hadi kwenye panel ndipo alipotokea
 
Aisee watu wa SUA naombeni msaada wa Curriculum ya Diploma in Tropical Animal Health and Production.
 
Back
Top Bottom