Kitumburee
Senior Member
- Jan 31, 2012
- 139
- 88
Nawasalimu wakuu.
Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe kuhusu kuweka system ya gas ya kupikia katika jiko. Katika pitapita zangu nikawasikia jamaa wanaongelea kuwa kuna mfumo ambao mtungi wa gas unawekwa nje kabisa mbali na kijoni, halafu wamepitisha bomba za kupeleka gas ndani/jikoni.
Hii imekaaje wadau, mwenye kuielewa zaidi atufafanulie.